Eng. Hawaamini hao, sasa dawa yao ni 9-1. Ukiwaambiwa ManU matawi ya kileleni hawataki.Wewe mshikachuma ulianza kwa kubeza Man U kuwa tuna mpira wa kawaida sana....usitukane wakunga na uzazi ungalipo! Na mwenzio akaongeza hatuna kipa...naamini penalty iliyopanguliwa mliiona...kimsingi Man U leo ingewapa zawadi ya goli kwa kila mchezaji
<br />Eng. Hawaamini hao, sasa dawa yao ni 9-1. Ukiwaambiwa ManU matawi ya kileleni hawataki. <br />
In death row: Liverpool, Chelsea, ManC, Tott.spurs, Aston...........
naaaam.. sijui michelle anapatikana pande zipi, atakayemwona ammwambie tumemmiss sana pande hizi
Hao City unaowasifia walipigwa tatu na hao hao watoto waliokuwa wanajifungia magoli leo kama wako mazoezini.man wachovu tu arsenal na uchovu wake wanawapiga mbili?angalieni wanaume wa kazi spurs kamili imepigwa 5.na arsenal ikiingiza timu kama ya jana kwa man c inakula mwezi(30)
man wachovu tu arsenal na uchovu wake wanawapiga mbili?angalieni wanaume wa kazi spurs kamili imepigwa 5.na arsenal ikiingiza timu kama ya jana kwa man c inakula mwezi(30)