Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Let stick kwenye hoja ya msingi hizo habari za kina Lindelof sio hoja tunayozungumziamkuu nimeshakujibu huko juu Rashford na martial sio mawinga, zunguka unavyozunguka ukweli utabaki huo, na haya sio maneno yangu mkuu vyote ninavyoandika huko juu ni maneno yake mwenyewe mou,
martial na rashford hawakupi width wao wanaingia ndani siku zote, hivyo huwezi gain advantage za winger,
na mbona amesajiliwa lindelof wakati tuna
-smalling
-jones
-baily
-rojo
wote wanacheza CB
-blind
-Tuanzebe
-TFM
wanacheza pia CB kama wajuu wameumia.
amesajiliwa Lindelof sababu ana kitu cha ziada, ndio beki pekee man u mchezea mpira (ukimtoa blind), anaweza akakaa na mpira akajiamini akatoa pasi.
vile vile kwa perisic, uwepo wa kina martial na rashford haumfanyi asije sababu yeye anatoa kitu cha ziada ambacho wengine hawana.
mbona umechelewa kujua sasa
Sio kwamba hatutaki ..ila man city daah! Hashikiki... kama aliweza kutufunga sisi ..sioni kama man u atapona.Kwani Nyinyi Chelshit Hamulitaki? Mbona Munakabidhi Wengine sasa?
MKUU kwa mwenendo wa man city sasa ni kma Chelsea msimu ulopita. ..yani wanabutua tuu ..hata wewe ukikaa vibaya atakubutua tu ...na mimi naomba iwe ivyoLigi bado sana chelsea,arsenal,liverpool na manchester united bado wananafasi hakuna timu iliyozidiwa na mwenzie point 10 huyo city everton tu alimtoa jasho kwake

Wewe kaa kwa kutulia. .liver timu mbovu inakutoa jasho ivo, ukikutana Toti Chelsea ...Naona umebadili maelezo sasa. Nakukumbusha game ya tatu hii unapigwa...
Cheka sasaa. ...Huyo shabiki huwa anahaha hadi anachekesha!
mkuu nimekutajia hapo juu nafasi za pembeni kunaLet stick kwenye hoja ya msingi hizo habari za kina Lindelof sio hoja tunayozungumzia
Martial ni winger tangu akiwa Monaco alivyosajiliwa United alichezeshwa kati sababu United haikuwa na CF akacheza vizuri kwa mfumo wa Mourinho hawezi mpanga Martial kama CF so lazima acheze pembeni hata France alikuwa anacheza kushoto baadae Deschamps akawa anamuazisha Payet,Martial akakaa benchi Euro mwaka huu Dembele akawa anachezeshwa nafasi yake.Angalia hata magoli yeke mengi anayafunga akitokea pembeni
Rashford ni pure CF tatizo lake kubwa bado sio mzuri kwenye finishing so kwakuwa timu inaye Lukaku na Zlatan ili usimpoteze unamchezesha nafasi ambayo anaweza kucheza aendelee kujifunza otherwise umpeleke kwa mkopo .Unasema sio mawinga lakini kwa msimu huu so far wamefanya vizuri sana licha ya kucheza dakika chache sana hasa Martial
Martial ana magoli 5 assist 5 na Rashford ana magoli 5 na assist 4
Hata wewe utafungwa tuu ...tena nyingi mnooMmefungwa na Crystal Palace![]()