Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu Ukweli Ni Kwamba Washabiki Wengi Wa Chelsea Walikuwa ni Washabiki Wa Arsenal Walihama Mwaka 2005 Wakahamia Chelsea Kumfata Mourinho Wakivutiwa Na Drogba Kwa Wakati Huo...
Kwahiyo Hao Washabiki Wa Chelsea Ni Watu Wasiojua Mpira Na Ndiyomana Wanahisi Chelsea Ndiyo Timu Pekee Wanayoona Ndiyo Timu Ngumu EPL...
Hao Njia Yao Ya Kuwazima ni Moja tu!!!!
Wakijisifu Kuwa Chelsea Ndiyo Kigezo cha Timu Bira EPL waulize hivi "UNAKUMBUKA MARA YA MWISHO KUMFUNGA LIVERPOOL EPL NI MWAKA GANI?"
Uone kama atakuquote tena..

Kweli mkuu hawa jamaa wa ajabu wasahaulifu sana nikuwasamehe tu
 
Mimi Timu Ninayoiyogopa Zaidi Ndani ya EPL ni Man U... Kinyume Chake Man U Ndani ya EPL timu wanayoiyogopa Zaidi ni Liverpool..

Lakini wewe Ulioanza Kuangalia Mpira 2013 unachokijua Ni Kwamba Man U wanaiogopa Chelsea, Man City na Spurs..
Hahaha ushindi wa jana umekupa kiburi sana. Hongera! Iyo man u unayoiyogopa kwetu ni timu ndogo mnoo.
 
Mkuu Ukweli Ni Kwamba Washabiki Wengi Wa Chelsea Walikuwa ni Washabiki Wa Arsenal Walihama Mwaka 2005 Wakahamia Chelsea Kumfata Mourinho Wakivutiwa Na Drogba Kwa Wakati Huo...
Kwahiyo Hao Washabiki Wa Chelsea Ni Watu Wasiojua Mpira Na Ndiyomana Wanahisi Chelsea Ndiyo Timu Pekee Wanayoona Ndiyo Timu Ngumu EPL...
Hao Njia Yao Ya Kuwazima ni Moja tu!!!!
Wakijisifu Kuwa Chelsea Ndiyo Kigezo cha Timu Bora EPL waulize hivi "UNAKUMBUKA MARA YA MWISHO KUMFUNGA LIVERPOOL EPL NI MWAKA GANI?"
Uone kama atakuquote tena..
Haha acha kajikuta unajua sana mpira wewe ..una uhakika gani kama fans wa Chelsea walitokea arsenal? Wee vip? Wewe kwenye mpira unachokijua ni historia tu. Huna tofauti na akina shafi dauda. .Chelsea nmekuja nayo kabla hata ya mourinho. .usitake tupelekane kwenye historia mkuu.
 
Back
Top Bottom