Nimeangalia ile mechi my point Kwa Mourinho Young sio winga tena ni fullback(RB/LB) huwezi kumlaumu kutoshambulia while alipangwa mahsusi kwa ajili ya ku-defend.Kocha angetaka kuchezesha winga wa kushambulia alikuwa na option ya Lingard,Mata na Rashford lakini hakuwaanzisha .
Sidhani kama ni sahihi kumnunua Perisic(28) kwa £48m +£5m add ons na kuwapoteza Martial na Rashford
Jose amempa mkataba Zlatan so kwa sasa Rashford na Martial wataendelea kucheza kama winga
mkuu mchezaji akicheza pembeni automatic haimaanishi ni natural wingers, mfano kulia kuna
-RWF -winga mshambuliaji wa kulia
-RW- winga wa kulia
-RM- kiungo wa kulia
-AMC- kiungo mshambuliaji wa kulia
wote rashford na Martial ni washambuliaji, wakicheza pembeni wataendelea kuwa washambuliaji au winga mshambuliaji, angalia wakipata mpira wanataka kuingia ndani.
mfano mzuri ni huyo martial mechi na liverpool mara ngapi amepata mpira na kuingia ndani? karibia mara zote, mentality yake tayari ipo hivyo na hiyo ndio natural position yake.
ukiambiwa winger au natural winger ni yule ambae akipata mpira anachofikiria ni kukimbia pembeni karibu na kibendera na kutia cross, si rashford si martial wanaoweza cheza hivi,
Hapo ndio perisic, forsberg, bernardeschi wanapoingia, kati ya hao tulitaka mmoja ila matokeo yake hajakuja haja mmoja, hao ni natural wingers, wanakupa width na kuwafungua mabeki waje pembeni, unapokuwa na wingers wazuri lazima watu wawili wamkabe hivyo tegemea beki wa pembeni na angalau namba 6 wachomoke kati waende pembeni, hapa unatengeneza mambo mawili
1. apige cross watu wagombanie vichwa
2. wachezaji wa kati wapate nafasi zaidi ya kushambulia.
na hapo ndio mtu kama mkhitariyan anapoona nafasi na kuuwa watu.