Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

mkuu mchezaji akicheza pembeni automatic haimaanishi ni natural wingers, mfano kulia kuna
-RWF -winga mshambuliaji wa kulia
-RW- winga wa kulia
-RM- kiungo wa kulia
-AMC- kiungo mshambuliaji wa kulia

wote rashford na Martial ni washambuliaji, wakicheza pembeni wataendelea kuwa washambuliaji au winga mshambuliaji, angalia wakipata mpira wanataka kuingia ndani.

mfano mzuri ni huyo martial mechi na liverpool mara ngapi amepata mpira na kuingia ndani? karibia mara zote, mentality yake tayari ipo hivyo na hiyo ndio natural position yake.

ukiambiwa winger au natural winger ni yule ambae akipata mpira anachofikiria ni kukimbia pembeni karibu na kibendera na kutia cross, si rashford si martial wanaoweza cheza hivi,

Hapo ndio perisic, forsberg, bernardeschi wanapoingia, kati ya hao tulitaka mmoja ila matokeo yake hajakuja haja mmoja, hao ni natural wingers, wanakupa width na kuwafungua mabeki waje pembeni, unapokuwa na wingers wazuri lazima watu wawili wamkabe hivyo tegemea beki wa pembeni na angalau namba 6 wachomoke kati waende pembeni, hapa unatengeneza mambo mawili
1. apige cross watu wagombanie vichwa
2. wachezaji wa kati wapate nafasi zaidi ya kushambulia.

na hapo ndio mtu kama mkhitariyan anapoona nafasi na kuuwa watu.
Salute mkuu nimekuelewa sana
 
mkuu nimekutajia hapo juu nafasi za pembeni kuna
-wing forward (martial, ronaldo, anavyochezeshwa rashford etc) huyu ni winga anaeingia ndani sio anaehitajiwa man u, tunao wengi wa design hii mata anacheza, yule mtoto perreira anacheza, mkhitaryan anacheza, etc

-kuna natural winger pia unaweza muita old school winger design ya perisic ambaye anakimbia na mpira pembeni na kutia cross, kipindi cha fergie hawa walikuwepo wa kutosha kina Giggs enzi zake, valencia na young enzi zao, richardson, etc.

na haya si maneno yangu mkuu, press conference kibao mou amesema anataka wide man, sio kwamba hajamuona huyo martial au rashford, anawaona ila anajua hawawezi kazi ya winger.

Na hata ukiwa na goli 100 na assist 100 kama kwenye mechi muhimu unashindwa tekeleza alichokuambia kocha ni bure, mechi ya liver ni mfano mzuri.
Mkuu umeeleweka, watu wengine tu wanajifanya vichwa ngumu kujifanya hawaelew
 
Wewe kaa kwa kutulia. .liver timu mbovu inakutoa jasho ivo, ukikutana Toti Chelsea ...


Mimi Timu Ninayoiyogopa Zaidi Ndani ya EPL ni Man U... Kinyume Chake Man U Ndani ya EPL timu wanayoiyogopa Zaidi ni Liverpool..

Lakini wewe Ulioanza Kuangalia Mpira 2013 unachokijua Ni Kwamba Man U wanaiogopa Chelsea, Man City na Spurs..
 
Mimi Timu Ninayoiyogopa Zaidi Ndani ya EPL ni Man U... Kinyume Chake Man U Ndani ya EPL timu wanayoiyogopa Zaidi ni Liverpool..

Lakini wewe Ulioanza Kuangalia Mpira 2013 unachokijua Ni Kwamba Man U wanaiogopa Chelsea, Man City na Spurs..

ktk mechi ambazo ni ngumu basi ni liverpool wakikutana na manchester united kwanza hata siwezi kutabir matokeo yao mpira wa hizi timu historia yao inaifanya kuwa mechi nzito mno mjuz wa mpira hapa nikukaa kimya tu kuna jamaa humu nlimuambia mech yetu na liverpool haitabirik na kweli nafakir kajionea
 
7ae3456bb874cf4375201da9e7b70535.jpg
 
Mchezaji mmoja wa Benifica katoka damu kichwani. Na kwa mjibu wa shabiki mwenzagu bandani hapa, timu ambayo mchezaji atatoa damu uwanjani, hushinda. Ngoja nione kama uchawi huu utashinda.
 
Sio kwamba hatutaki ..ila man city daah! Hashikiki... kama aliweza kutufunga sisi ..sioni kama man u atapona.

Kwa nini mashabiki wengi wa chelsea huamini timu yao ni kipimo pale epl wakat kabla ya conte mlimaliza wa 10 united wa 6 msimu ulioisha mmechuku kombe moja tu wakat united kachukua europa na culling ulitufunga kwako tumekufunga old trafod timu ngumu england ni liverpool tu

Hapa naanza kuona kuwa mpira mmeujua karibun
 
Kwa nini mashabiki wengi wa chelsea huamini timu yao ni kipimo pale epl wakat kabla ya conte mlimaliza wa 10 united wa 6 msimu ulioisha mmechuku kombe moja tu wakat united kachukua europa na culling ulitufunga kwako tumekufunga old trafod timu ngumu england ni liverpool tu

Hapa naanza kuona kuwa mpira mmeujua karibun

Mkuu Ukweli Ni Kwamba Washabiki Wengi Wa Chelsea Walikuwa ni Washabiki Wa Arsenal Walihama Mwaka 2005 Wakahamia Chelsea Kumfata Mourinho Wakivutiwa Na Drogba Kwa Wakati Huo...
Kwahiyo Hao Washabiki Wa Chelsea Ni Watu Wasiojua Mpira Na Ndiyomana Wanahisi Chelsea Ndiyo Timu Pekee Wanayoona Ndiyo Timu Ngumu EPL...
Hao Njia Yao Ya Kuwazima ni Moja tu!!!!
Wakijisifu Kuwa Chelsea Ndiyo Kigezo cha Timu Bora EPL waulize hivi "UNAKUMBUKA MARA YA MWISHO KUMFUNGA LIVERPOOL EPL NI MWAKA GANI?"
Uone kama atakuquote tena..
 
Back
Top Bottom