Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu Ronaldo yuko wapi? Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee as for wine Romney bado haja-prove his greatness ... .... ...
Ronaldo alitamka mapema kuwa siku moja anataka kuchezea Real Madrid timu aliyokuwa anatamani kuichezea tangu udogoni sasa ulitaka tumzuie kutimiza ndoto yake kama mlivyokuwa mnataka kumzuia Fabregas? Fergie alichofanya alimwambia nipe one more season then ondoka.
 
Statement: Sir Alex and BBC

Sir Alex Ferguson and the BBC have decided to put behind them the difficulties which led to Sir Alex feeling unable to appear on BBC programmes.

This follows a meeting between Sir Alex and the BBC’s director general, Mark Thompson, and BBC North director Peter Salmon, and the issues have been resolved to the satisfaction of both parties.

Sir Alex will now make himself available to the BBC for Match of the Day, Radio 5 Live and other outlets as agreed.
No further comment will be made by either party on this issue.
 
Benfica have only won one of their seven meetings with Manchester United in Europe, losing six. Stats by Opta Stats
 
Match dates

14 Sept
Benfica (A) | 27 Sept FC Basel (H) | 18 Oct Otelul Galati (A) | 2 Nov Otelul Galati (H) | 22 Nov Benfica (H) | 7 Dec FC Basel (A)
 
Ronaldo alitamka mapema kuwa siku moja anataka kuchezea Real Madrid timu aliyokuwa anatamani kuichezea tangu udogoni sasa ulitaka tumzuie kutimiza ndoto yake kama mlivyokuwa mnataka kumzuia Fabregas? Fergie alichofanya alimwambia nipe one more season then ondoka.

Msome swaiba wako hapo juu .... ..... ..... .... khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Wacha kukurupuka.

carosuel-roo_20101_1147680a.jpg

Cry baby .... .....​

Mkuu Ronaldo yuko wapi? Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee as for wine Romney bado haja-prove his greatness ... .... ...

80 milion pounds is another story pal.
It could be insane to refuse such an amount.
I dont think if Fabrigas was Manu player, Fergie could have let him go so Cheaply.
If was not for the 80 milion ponds Ronaldo could not have been sold and could rot in the stands.
 
Unaogopa kumwambia mzee wa udaku ukweli? Soma alichoandika na ulichoandika then mpashe ..... ..... ..... khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Ronaldo alitamka mapema kuwa siku moja anataka kuchezea Real Madrid timu aliyokuwa anatamani kuichezea tangu udogoni sasa ulitaka tumzuie kutimiza ndoto yake kama mlivyokuwa mnataka kumzuia Fabregas? Fergie alichofanya alimwambia nipe one more season then ondoka.

Ronaldo hakuwa Real Madrid Fan alikuwa Barcelona fan wakati wa udogo wake chunguza vizuri kabla kuandika... ila £80m hata siku moja hakuna angeikataa. mie sio United Fan ila Ronaldo kiwango chake kimeanguka sana Real madrid, Fabregas ataweza kuwika sababu anacheza nao sana Eniesta na Xavi timu ya Taifa.

Whoops! Browser Settings Incompatible
 
Duh!! Wewe kweli kiboko mkuu! Yaani huu Whoops! Browser Settings Incompatible ndio uchunguzi uliofanya na kupresent kama fact kwamba Ronaldo alikuwa mshabiki wa Barcelona udogoni? Tumwamini nani hapa, kati ya Ronaldo mwenyewe na Eric Djemba-Djemba? Nakumbuka Ronaldo alinza kupiga kelele za kutaka kutamani Madrid kabla hata wao wenyewe hawajaonyesha interest, kwanini hakuwahi kusema anatamani kwenda Barca?
Pili, unatumia vigezo gani kusema Ronaldo ameshuka kiwango sana tangu aende Madrid? Statistic hazionyeshi hivyo! Nina wasiwasi kama unaangalia Primera Liga, maana ungekuwa much more informed kuliko hizi sweeping statement unatoa hapa!!!! Nafakiri unashindwa kuelewa kwamba the only reason Ronaldo hajachukua ubingwa wa Spain ni uwepo wa timu nzuri sana ya Barcelona, na sio individual perfomance yake....na kuna kila dalili Mourniho anapunguza gap alilolikuta wakati anafika, just matter of time watanyanyua ndoo. Jaribu kufanya uchunguzi japo kidogo kama unavyoagiza wengine.
 
Ukiwacha Djemba Djemba kusema, Ronaldo aliwahi kutamka kuhusu kuwa big fan wa Barcelona, kuhusu Real Madrid alianza baada Madrid kumtaka na ndio sehemu pekee walikuwa na pesa kushinda Barcelona hawakumuhitaji. Barcelona unaweza kuwa na Point ya kusema imefanya vizuri mie ni Big Fan wa Real Madrid kuliko hao Barca ok Ronaldo tunaweza kusema sababu kapiga mabao mengi ila skills ya kukokota mpira na kugawa pasi imepunguwa si yule Ronaldo aliyekuwa Man united. labda sababu i'm not big fan of him sijaribu kufanya unazi.
 
Wapenzi wa EPL hasa mashabiki wa Arsenal na Manchester, heshima mbele wakuu wangu!.

Hivi kwa nini Arsenal mara nyingi inafungwa na Manchester? sababu hasa ni nini? -
Binafsi nafikiri kama kwenye maisha kuna bahati basi hata kwenye mpira kuna bahati. So nafi
kiri Man u pamoja na kuwa na timu mzuri lakini pia wanabahati kushinda timu yoyote England.
Maana hata kwenye mtanange wa leo utaona Arsenal watacheza kama Barca,lakini mwisho wa
dk 90 utaona Man U 3 Arsenal 0 au 1.

Au nyie wenzangu mnaonaje? kwanini Arsenal inafungwa mara nyingi na Man U?
 
Awa leo n kupiga nyingii tu...naona wana zuia tu....salama wakuu wangu!?
 
Back
Top Bottom