everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Msiba wa kitajiri na pilau unapewa, nimegonga like kwa niaba ya Twin cute b
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Duhhh kumbe aliwatesa eeeehhh;!!!;!Leo zamu yako.NJOO KWENYE UZI WA CHELSEA.UTUTAMBIE.iscooogoaaaaaaaaal.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa Uzuri ni kwamba yakiwafika tukija msianze kulia liaLeo zamu yako.NJOO KWENYE UZI WA CHELSEA.UTUTAMBIE.iscooogoaaaaaaaaal.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahha haniiii habari za masikuuuuu!!!! Acha methali zako bana weeeee ukipata furahi ukikosaaaa jutia!!! Unafikiri kesho mkishindwa sitakujja kucheza singeli?? Kila siku ni mpya na mambo yake.....kuna siku hata mamba wanaendaga kuota jua unavuka kiulainiiiiiii

Ahahaaaah...Formation sio kabisa
Imecheza Super Cup 2
Maana tulishinda uefa na europa cup


Ahahaaaaah...Lukaku hapati mipira ya kutosha...
Pogba naona bado amesahu anacheza nyuma zaidi... angalau kidogo baada ya kupata maelekezo ya Mou dk 15 za mwisho kipindi cha pili kapanda kidogo na timu imeamka.
Madrid bado hawajapata kashikashi za kutosha wakipelekeshwa dk 3 mfululizo kuna gori mbili pale naziona kabisaaa... Nadhani Lingard anapaswa kumpisha Rushford. Mik wa leo kalala sana si mbaya Martial akapiga jaramba kwaajili yake.
Bado ninamatumaini makubwa na ushindi
GGMU GGMU GGMU
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnacheza vizuri..!!?Tunacheza vizuri nafasi ya kusawazisha ipo martial aingie kwa Lingard baadae mikky atoke Rashford aingie.
Mimi humu nipo kuwapa poleNawe karibu tena penye uzi wetu adhwimu.
More Redbull please..!Asante Mou umefanya kama nilivyoomba.. Lingard out Rushford in
Waiter more Redbull please
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekufuata wewe
#To all Haters leo Leo tunavunja tanga kwahiyo tukimaliza mazishi msionekane tena humu tutakuwa na tanga ndugu tujadili mambo yetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
:* "Real Madrid look like a team and Manchester Utd look like a work in progress."asante mwaya, ila nafurahi kuona tumejitahidi hata kama tumefungwa ila tumepambana.
Ndivyo wanavyoamini mkuu..!