Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,924
- 27,165
Yeah ni kweli. Ahsanteni kwa kishirikiTumefungwa tujiandae kwa ligi makosa yapo backline goli la pili hawakuwa makini so far hatupo vibaya timu naielewa ggma
Yeah ni kweli. Ahsanteni kwa kishirikiTumefungwa tujiandae kwa ligi makosa yapo backline goli la pili hawakuwa makini so far hatupo vibaya timu naielewa ggma
Rudia kauli yakoMimi nilishasema deal la Lukaku costful kwa Man U ,mnakua na striker hajapiga attempt wala assist hata moja?
Nawe karibu tena penye uzi wetu adhwimu.Yeah ni kweli. Ahsanteni kwa kishiriki
,nimegundua hii Mic itakuwa na shida ya vumbi so far life goes on .....turudi kwenye ligi.Hahahhaha wamenifunga kwa shida sana yaani viwili tu wamepiga kwa taaabu sanaaaa,yaani kwa tabuuuuu sana,bao mbili tu kwa shidaaaaaaa sananaaaaaaa!!!!! Wakaniinamisha nikakataaa kwa tabuuuu sana,viwili nami nikajibu kimoja,Si umeona eeeeeej yaani bao mbili kwa tabuuuuuuu sanaaaaaaaaa........Hahahhaha udumu Joti kwa Comedy zako!!!!Mou gamble yake ya kumuanzisha lingard imetucost!tumekutana na timu ambayo tayari imeshatengenezwa zaidi ya miaka miwili,sisi ndo tunaanza kuunda timu!!all in all tuko vizuri na very promising!
[HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]
Waelekeze watu kaburi la kuzikia ni wapi wachimbe mamyGlory Glory Manchester United !!!
This was one one I test my microphone![]()
![]()
,nimegundua hii Mic itakuwa na shida ya vumbi so far life goes on .....turudi kwenye ligi.
Kama nawaona haters wanavyokuja kwa kasiiiiij hahhaha!!!! hata msije wafiwa sisi huwa tunajiweza kama wanyakyusa vile tunalia na kucheza Hahahhaha....
cute b come this way ni singeli tu......ila Leo tunapiga praise and worship hahahhahaha kwa kila Jambo ni kushukuru.
Heee sasa wewe goal alilofunga unampa credit lukaku au Matic?Rudia kauli yako
Karibu ...Hahahaaaa.. Huhuuui.. Hohohooo..
Wapi Likuku