Ahahaaaah...
Ahahaaaaah...leo ni Ushindi tu [HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]
Pole jamanieeh mie ndiyo naamka, loh nilisema nilale kiduchu ndiyo naamka sasa.
Walipania kweli halafu ghafla wame epaa#To all Haters leo Leo tunavunja tanga kwahiyo tukimaliza mazishi msionekane tena humu tutakuwa na tanga ndugu tujadili mambo yetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kalale tu Mdogo wangu Haya yote unayoyaona ni ndoto tu,endelea kulala ukue eeeeeh usiamke tena mpka asubuhi.eeh mie ndiyo naamka, loh nilisema nilale kiduchu ndiyo naamka sasa.
Hata goli la Isco nalo Offside etieeeOffside ya casemiro hujaiona kwani au huna macho...??
![]()
![]()
![]()
acha wivu, usiharibu jina.Kama kawaida mzee wa kuotea Likuku
Ahahaaaah...I wish us Manchester united fan and our team to win this one of many go man utd let's kick Madrid ass glory glory man utd
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo zamu yako.NJOO KWENYE UZI WA CHELSEA.UTUTAMBIE.iscooogoaaaaaaaaal.
kausingizi ndiyo kameisha hvyo, ngoja niungane nanyi hata kama nimepitwa kidogo.Kalale tu Mdogo wangu Haya yote unayoyaona ni ndoto tu,endelea kulala ukue eeeeeh usiamke tena mpka asubuhi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa timu gani mama mdogo..!?GLORY GLORY MANCHESTER UNITED....
Let's start our season with a trophy.
Wakuu nimewahi hili kombe tunalolichukua Leo litakaaa kwangu wiki.
Niji selfie nalo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ya Mzee Wenger bhanaaaRashford ana pua ndefu bhana. Kama kwenzi. Loooh
Ahahaaaaah...Pogback dah jamaa jembe balaa