Jamaa anaamini katika urefu tu ndio maana matial out kila siku
Offside ya casemiro hujaiona kwani au huna macho...??Leo mtakiona

Mbona ipo pouwa tu mkuu. Sema lukaku ndo hajatuliaFormation sio kabisa
Naamini atafanya maajabu.Angalia sehemu Marcelo na Carvajal wanapocheza. Lukaku kacheza vizuri mpaka sasa.
Lakini martial(6.0) ni mrefu kuliko lingard(5.9)Jamaa anaamini katika urefu tu ndio maana matial out kila siku