SIM
JF-Expert Member
- Oct 25, 2011
- 1,796
- 1,308
ndio umerudi hujauona pale kwa isco?hivi ule mpira wa penalt uliopigwa na thibaut curtois pale wembley umerudi?
Sent using Jamii Forums mobile app
ndio umerudi hujauona pale kwa isco?hivi ule mpira wa penalt uliopigwa na thibaut curtois pale wembley umerudi?
Ha ha naona kampeni ya Mourinho out itaanza mwezi January



Hauna wasiwasi tena...!Ndio maana sinaga wasi wasi na usajili wa mourinho!! Jana niliona shughuli ya huyu jamaa!! sasa sijui tutasingizia nini tena maana beki wapo, kipa yupo, viungo wapo wakiongozwa na pogba na matic, na pale mbele tuna lukaku!!
Ahahaha mambo yamekwenda ndivyo sivyo ...Ha ha naona kampeni ya Mourinho out itaanza mwezi January
Nakumbuka enzi za Furguson Man u hua wanakua na kasi sana wakati wa ku attack hadi utapenda
enewei unajua timu yetu man u huwa haikati tamaa kabisa. ..cunajua tena straika wetu lukaku ...atarudisha banaa
Bado hujamuona?Wapi lukaku![]()
![]()
![]()
Naona mmeshaziingiza mashine Rashford na Fertain, toeni na Lukaku muingize machine nyingineHahahhahhh
Aisee tumeanza vibaya lakini kwa siraha zilizoko bench sina wasiwasi glory ipo kama kawa
Nipo Cute wewe ndo ulipotea zaidi.. sijui kidume gani kilichojitutumua...hahahha
Sent using Jamii Forums mobile app
Credit nampa aliepiga shoot team butu sana haishambulii hata kidogo inatia hasira sisi wacatalonia tunaita dead football you have to attack and attack and attack hadi opponent apagawe akili zinavurugikaAhahaha mambo yamekwenda ndivyo sivyo ...![]()
![]()
enewei unajua timu yetu man u huwa haikati tamaa kabisa. ..cunajua tena straika wetu lukaku ...atarudisha banaa
![]()
![]()
![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii siyo meshi ya kutest mitambo. Ni mchuano wa kutafuta club bingwaWewe sisi tunatesti mitambo na mabingwa wa ulaya Mara 2 mfululizo.kwaiyo tulia tuje EPL kuwanyosha vizuri