Timu yenu ni mbovu kuliko ubovu wenyewe...Tumefungwa tujiandae kwa ligi makosa yapo backline goli la pili hawakuwa makini so far hatupo vibaya timu naielewa ggma
Wamefungwa domo zao na Lukaku maana saivi ni Lukaku vs HarmorataGlory Glory Manchester United !!!
This was one one I test my microphone![]()
![]()
,nimegundua hii Mic itakuwa na shida ya vumbi so far life goes on .....turudi kwenye ligi.
Kama nawaona haters wanavyokuja kwa kasiiiiij hahhaha!!!! hata msije wafiwa sisi huwa tunajiweza kama wanyakyusa vile tunalia na kucheza Hahahhaha....
cute b come this way ni singeli tu......ila Leo tunapiga praise and worship hahahhahaha kwa kila Jambo ni kushukuru.
Hahahhaha huyu marehemu alikuwa na shida kidogo sijui hata tumzikaje maana hata kibanda chake hakujenga huyu tukamzike Njiro

A small team
Ahahaaaah...Mou gamble yake ya kumuanzisha lingard imetucost!tumekutana na timu ambayo tayari imeshatengenezwa zaidi ya miaka miwili,sisi ndo tunaanza kuunda timu!!all in all tuko vizuri na very promising!
[HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]
Tutamzika manispaa. Ila daaahHahahhaha huyu marehemu alikuwa na shida kidogo sijui hata tumzikaje maana hata kibanda chake hakujenga huyu tukamzike Njiro![]()
![]()
Kama wewe ni mtoto wa kiume si muda mrefu utakuwa deliciousHeee sasa wewe goal alilofunga unampa credit lukaku au Matic?
Ha ha kumbuke yeye ni striker ameshindwa kupiga mipira kama ile
Hahahhahaha nyie watu wa humu mnamajibu balaa utafikiri mmesomeaTimu yako haijawai kucheza mechi ya Super Cup

Credit kwa wote, mpigaji kwa kupiga vyema na mfungaji kwa kuwa sehemu anayopaswa kuwa muda mwingi.Heee sasa wewe goal alilofunga unampa credit lukaku au Matic?
Ha ha kumbuke yeye ni striker ameshindwa kupiga mipira kama ile
D d
Timu yako haijawai kucheza mechi ya Super Cup
eeh mie ndiyo naamka, loh nilisema nilale kiduchu ndiyo naamka sasa.