Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Man utd timu tunayo,Madrid sio timu ya mchezo.Uwepo wa modric,casemero na kroos bila kumsahau isco na ukilinganisha wamekaa mda mrefu pamoja,inakua ni vigumu kufungika.

Hiyo ni moja ya sababu imetamba Uefa kwa misimu 2 mfululizo.Juventus ilikua inasifika kwa beki imara lakini mwisho wa siku walipigwa 4.

Yote kwa yote Matic tumelamba dumeeee... Tukutane jpl ndio mtajua man tunatimu
Mkuu mimi naona jana ndio ilikuwa kipimo kizuri cha kujipima na Madrid kama mna timu nzuri lakini kusema msubiri mpaka mcheze na West Ham jumapili hapo sidhani kama ni kipimo kizuri kwenu ingawa West Ham nao ni wazuri ila mechi ya jana ndio ilikuwa nzuri zaidi, mbali na hapo ngoja tuone timu zitakavyo perform.
 
Kulikua na haja sana ya kutumia "pace na trickery" ya Martial kwenye winga mojawapo hasa kipindi cha pili...bahati mbaya sana kocha alikua na mawazo tofauti.
NB: Timu nyingi zinammezea mate Anthony ila hathaminiki OT, hadi Lingard yuko mbele yake kwenye pecking order!
Mourinho,good coach. Poor man management

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG-20170809-WA0005.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chelshit wapuuzi sana, kumuuza Matic to direct rivals? The guy's a hit asee.
 
Wanasemaga washabiki wa man u wanamaneno sasa huo usemi umethihilika Leo maana kuna kundi kubwa la m23 limekuja humu lakini limepokea majibu MAGUMU kutoka kwa man u fans!

Kuna mmoja kamwambia mwenzake eti soon atakuwa DELICIOUS😀

GGMU

Good night to all man u supporters in this thread🙂
Hilo nalo ni povu.. Maneno hayabadilishi uhalisia wa mtu..
 
Back
Top Bottom