sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,852
mnamtamani ila uwezo hamna wa kummiliki. mnabakia kutoa povu la galasa.
mnamtamani ila uwezo hamna wa kummiliki. mnabakia kutoa povu la galasa.
It seems like tumeangalia Chanel moja😀*Commentator:* "Real Madrid look like a team and Manchester Utd look like a work in progress."
Hajui kama,mwenzio akinyolewa.wewe tia maji nywele zako.Duhhh kumbe aliwatesa eeeehhh;!!!;!
Sisi mabingwa wa EPL.wa sasa na wa baadae.kombe asipochukua chelsea anachukua NEWCASTLE UNITED.timu yangu ya utotoni.
Ina maana hujui kabisa kama Chelsea alicheza mara mbiliKelele za nini? Timu yako imewai kucheza Super Cup?
Mechi ya leo umeona alichofanya?ANAJIONA SUPER STAR.mnamtamani ila uwezo hamna wa kummiliki. mnabakia kutoa povu la galasa.
NA KWAKO PIA MAREHEMU
Mkuu asingefunga ingekuwa shida sana humu ndani
Noma sana tungekoma huoni wanakuja ila kwa adabu! LukakuforeverMkuu asingefunga ingekuwa shida sana humu ndani
Morata no goal ,no assist wala no target huyu inabidi akapimwe mkojo
Goli lake limesaidia nini kwenye timu?Mkuu asingefunga ingekuwa shida sana humu ndani
Man utd timu tunayo,Madrid sio timu ya mchezo.Uwepo wa modric,casemero na kroos bila kumsahau isco na ukilinganisha wamekaa mda mrefu pamoja,inakua ni vigumu kufungika.
Hiyo ni moja ya sababu imetamba Uefa kwa misimu 2 mfululizo.Juventus ilikua inasifika kwa beki imara lakini mwisho wa siku walipigwa 4.
Yote kwa yote Matic tumelamba dumeeee... Tukutane jpl ndio mtajua man tunatimu
.mnatafuta sababu.