Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wakuu vip tena ivan perisic au ndo dili letu limebuma..??
Inter Milan walikuwa hawataki kupunguza dau ingawa Perisic alikuwa anataka kuja United,Mourinho alikuwa anataka wachezaji 4 lakini kwenye interview ya juzi amesema hata akipata wachezaji 3 itakuwa sawa.So kuna posibility ya kusajiliwa mchezaji mmoja either winga au DM au kama kuna mchezaji atauzwa
 
MI NAONA UHUSIANO WE2 NA MADRID UNAKUFA AF CZAN KAMA NTAONA SHABIKI WA MAN U BADO ANAJIBEMBELEZA KWA MADRID WAPUUZI WANAOGOMA HATA KUTUPA WACHEZAJI WAO

Sent using Jamii Forums mobile app

Hiyo inaitwa mbwa kala mbwa, Morata Paundi mil 70.7 Man Utd waona hawa jamaa wanataka kutufanya majuha, yaani bench wormer Pound mil70. Ili kuwaonesha wao ni Jeuri wakaamua kutoa Pound Mil 75 kwa Lukaku na kuwaachia mchezaji wao.

Nilichojifunza hapa walijua kuwa Man Utd wako desperate so wangewaendesha wanavyotaka, wakasahau kuwa tuna Javier Ribalta kwa hiyo hakuna wa kutupiga kizembe. Ona inter milan nao wanavyotaka kutupiga kwa Perisic. Hawajui hela imekuwa ngumu siku hizi.
 
MI NAONA UHUSIANO WE2 NA MADRID UNAKUFA AF CZAN KAMA NTAONA SHABIKI WA MAN U BADO ANAJIBEMBELEZA KWA MADRID WAPUUZI WANAOGOMA HATA KUTUPA WACHEZAJI WAO

Sent using Jamii Forums mobile app

nani kakuambia Madrid wanawahitaji mashabiki wa Utd?punguza hasira Lukaku ni bora kuliko Morata (nimewanukuu) tatizo umesahau ile ishu ya Degea siku ya mwisho wa usajili nakukumbusha Madrid ni baba lao kwenye magumashi ya usajili.
 
Hahahahaaaaa kweli mkuu

Sio kwa Man Utd. Mkuu kila nikikumbuka lile saga la De gea last year, watu tunalala tunajua kabisa De gea ashakuwa Madrid afu tunaambiwa eti document zilichelewa kwa sekunde kadhaa, mkuu hapa sidhani kama kweli docs zilichelewa, ila zilicheleweshwa.
Kuna club kubwa za soccer mbili tu duniani, Man Utd na Real Madrid. Tena I bet kama Man Utd wangekuwa na Mafanikio kombe la Ulaya kama walivyo RMA basi naamini Man Utd kusingekuwa na any sport club(Not only a Soccer club) to compare with.
 
Kama hujaachwa na mmeo basi utakuwa umekalia kitu chenye ncha kali!
😛 😛 😛 😛 😛 hili povu babu kubwa! Makaku hamna kitu hapo, mmenunua tembooooo! Mwili mkuuuuubwa akili nukta 😎 😎 😎 😎 😎

Pogba wa tz nchi imekushinda!
 
Naona leo morinho hajawapanga game moja martial na lukaku nahisi ni kutokana na game iliyopita martial kuwa mbinafsi kwa lukaku kwa kutompatia pass
Makaku ni kilaza, acheni Kumzingua martial 😎 😎 😎

Pogba wa tz nchi imekushinda!
 
Kweli nyie watu ni losers yaani mnafurahia kuifunga Salt Lake goli 1 tofauti

Na msimu huu hambebi chohote
Shangaaa mwenyewe wanacheza na wavua migebuka wa uvinza kigoma nao wanaona wanacheza na timu ya maana!!!

Pogba wa tz nchi imekushinda!
 
Hamjalikataa Bali limewakataa nyinyi maana ofa tuliyopeleka na nyinyi ni sawa so usijipe credit eti mlimkataa na wakati alowakataa nyinyi
Morata amewakataa wakata mkaa wa mtaa wa 7 😛 😛 😛

Pogba wa tz nchi imekushinda!
 
MI NAONA UHUSIANO WE2 NA MADRID UNAKUFA AF CZAN KAMA NTAONA SHABIKI WA MAN U BADO ANAJIBEMBELEZA KWA MADRID WAPUUZI WANAOGOMA HATA KUTUPA WACHEZAJI WAO

Sent using Jamii Forums mobile app
Perez sio mjinga kiasi hicho amuuze dogo morata kwa litimu liloshika namba 7 kwenye ligi!

Morata ni champion league player,

Pogba wa tz nchi imekushinda!
 
nani kakuambia Madrid wanawahitaji mashabiki wa Utd?punguza hasira Lukaku ni bora kuliko Morata (nimewanukuu) tatizo umesahau ile ishu ya Degea siku ya mwisho wa usajili nakukumbusha Madrid ni baba lao kwenye magumashi ya usajili.
Na de gea wakimtaka wanambeba hakuna wakuwazuia! 😛 😛 😛 😛

Pogba wa tz nchi imekushinda!
 
Back
Top Bottom