Duuh poa poa mkuuMechi zinaoneshwa MUTV lakini ni online mkuu kwa subscription fee ya USD 1.99 kwa mwezi. Tofauti na hapo kuna links mbalimbali huwa zinawekwa na wadau hapa unaweza kujaribu.
Sent from my G7-L01 using JamiiForums mobile app
Duuh poa poa mkuuMechi zinaoneshwa MUTV lakini ni online mkuu kwa subscription fee ya USD 1.99 kwa mwezi. Tofauti na hapo kuna links mbalimbali huwa zinawekwa na wadau hapa unaweza kujaribu.
ni tigo hao huko halotel kipindi kie mb300 nacheki full mechi..... iyo ya voda ni wizi wa karne
sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
upande wa call hawapati pesa wamehamia kwenye internet mitandao yote inapiga pesa upande huoVoda ni wezi sana.
Mmmmh czaniHatimaye Perisic ndani ya nyumba!!
Manchester United agree £40million fee with Inter Milan for Ivan Perisic
Icho chanzo sikiaminiHatimaye Perisic ndani ya nyumba!!
Manchester United agree £40million fee with Inter Milan for Ivan Perisic
You tube wameweka done deal...hahahaa Ila naona kama jmaa ni aged sana
28 ageYou tube wameweka done deal...hahahaa Ila naona kama jmaa ni aged sana
Post sent using JamiiForums mobile app
Nahisi na zile namba 7 na 10 zilizoachwa mojawapo inaweza kuwa yake.Kesho ndio itakuwa hatma ya saga la usajili wa Perisic,Kesho Inter wana safari ya kwenda pre-season China kama makubaliano hayatafikiwa Perisic akienda China Mourinho amemwambia Woodward aachane nae na kuanza mazungumzo na target nyingine kama alivyofanya kwa Morata
I think no 10 ni ya ZlatanNahisi na zile namba 7 na 10 zilizoachwa mojawapo inaweza kuwa yake.
Kama hujaachwa na mmeo basi utakuwa umekalia kitu chenye ncha kali!Hodi humu wakata mkaa??
Hivi huyu romeru makapu ana magoli mangapi mpaka saaasa aliyofunga kwenye mazoezi Huko marekani??????
Pogba wa tz nchi imekushinda!
Watu kama hawa ni wa kutulia tu wapite bila kuwajibu comment zao nahisi watakaa kimya.Kama hujaachwa na mmeo basi utakuwa umekalia kitu chenye ncha kali!
Kweli kabisa, ila wanakera mi huwa sijui ushabiki wa kukashifu wachezaji wakati kuna siku huyo mchezaji unaemtusi anaweza hamia timu yako. Ndio maana mtu akikashfu mchezaji wa timu yoyote huwa sijisikii vizuri kabisa! Wachezaji wenyewe wanaheshimiana why not sisi wapiga vuvuzelaWatu kama hawa ni wa kutulia tu wapite bila kuwajibu comment zao nahisi watakaa kimya.