Huyo hajaikataa Chelsea na alikiwa anaitaka sana, kwenda Man hiyo ni michezo ya kijinga ya Mou, akisikia makocha wa uhakika wanamtaka fulani yeye bila kuwa na mpango anatumbukiza pesa ili kuikomoa timu iliyokuwa inamuhitaji mchezaji husika, Everton inahitaji pesa so Mou alifika dau la kutakata na wakawa hawana jinsi
Mou alikuwa Darajani tunamjua, na yeye ndiye aliyemwacha Mata na huyo Lukaku, leo anawaona lulu? Kwa usajili wa kijinga wa kushindana bila kuwa na strategy ya aina ya mchezo na wachezaji unaowahitaji ataishia tena nafasi ya msimu uliopita