Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

a5f9a08464ff7e2c8ba2a2588c078cc0.jpg

Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
 
Ila goli la lukaku tamu kweli.
Yaani alikuwa mwenyewe golini na akahakikisha real salt lake hawamzidi nguvu.
Zamani tulikuwa tunaita kapiga chenga

Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
Hahhaha sku hzi tunaita kasanzuka

Sent from my HTC U11 using JamiiForums mobile app
 
Naona leo morinho hajawapanga game moja martial na lukaku nahisi ni kutokana na game iliyopita martial kuwa mbinafsi kwa lukaku kwa kutompatia pass
Hakika.
Game iliyopita martial alifanya ujinga sana. Haifai awekwe na lukaku tena mpaka abadilike.

Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
 
Ha ha ha kwa nini mkuu

Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
Kama ulicheki game ya Leo goli la kwanza tulilofungwa ni makosa ya Jones na tatizo lake ni lile lile la kutokuwa aggressive anapobaki man to man na striker. Tumefungwa goli rahisi sana. Sasa hivi tunawachezaji wa kiwango cha dunia wanaoweza kucheza Nafasi ya ulinzi; Rojo, Bailly, Linderholf, Tuanzebe... Sioni sababu za kuendelea kuwashikilia Jones na Smalling. Ni muda waende kutafuta changamoto mpya kwingine.

Andreis Pereira.
Kama kuna mchezaji pale Manchester tunapaswa kumuangalia kwa jicho la tatu ni huyu kijana...

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Pereira akipata nafasi msimu ujao atastaajabisha watu.
 
Martial ni bonge la mchezaji suala la ubinafsi kila attacker pale man u analo. Dogo kwa umri wake yuko poa sana. Perisic ni complete player ila umri na kwa pesa ile sio kabisa. Martial kila apewapo game huwa anafanya vema. Mou anatakiwa ampe game 10 mfululizo aone maajabu yake. Kiufupi pale tunatakiwa mleta mchezaji mmoja tuu Dier
 
Back
Top Bottom