Kiberiti Kidogo
JF-Expert Member
- Jan 14, 2017
- 575
- 918
Marco Verratti? Mbona kama wakawaida sana.
Hahahahaa kumuongezea mkataba wamefurahi kama vile wamesajili bonge la fowardChelsea FC muwasamehe wamekosa Forward hadi saizi wameamua poza machungu kwa kumuongezea Conte mkataba.
Verrati si mchezaji wa kawaida kama unavyofikiri mkuu.Marco Verratti? Mbona kama wakawaida sana.
Pogba sio hakuaminiwa,hakuwa tu mvumilivu aliambiwa na fergie yeye ana umri mdogo so atacheza tu,na hata hakupenda scholes alivyorudishwa kutoka kustaafu na yeye yupo. Swala la pogba ni tofauti na la Lukaku mkuu.Hata Pogba hakuaminiwa na Utd akaenda zake alivyong'aa tu wale ambao hawakumuamini wakamfuata kwa pesa nyingi na akasema anaipenda Utd,kwa mfano wako wa Lukaku unatuaminisha hata Pogba haipendi Utd kwa kua haikumuamini.
Nimefikiria tu kibwegebwege![]()
Pogba sio hakuaminiwa,hakuwa tu mvumilivu aliambiwa na fergie yeye ana umri mdogo so atacheza tu,na hata hakupenda scholes alivyorudishwa kutoka kustaafu na yeye yupo. Swala la pogba ni tofauti na la Lukaku mkuu.


duh....!sawa mkuu.Si rahisi kuuziwa,hasa ukizingatia na barca pia wanamtaka sana.Mhmm nimemcheki dk 10 zake flani hapa ni mzuri. Ila sizani kama watatuuzia.
Kwa kuwa n kibwegebwege nakaushaHata Pogba hakuaminiwa na Utd akaenda zake alivyong'aa tu wale ambao hawakumuamini wakamfuata kwa pesa nyingi na akasema anaipenda Utd,kwa mfano wako wa Lukaku unatuaminisha hata Pogba haipendi Utd kwa kua haikumuamini.
Nimefikiria tu kibwegebwege![]()

Mourinho alichukua ubingwa wa EPL na Carling Cup bila ya Lukaku na MataShida ya Lukaku, Mata, Hazard ilikiwa ni ya Mourinho
Inasemekana wamemchukua morataChelsea FC muwasamehe wamekosa Forward hadi saizi wameamua poza machungu kwa kumuongezea Conte mkataba.
Tear ameshatua fundi
Carrick kilazaPale kati tunahitaji raia wa ukweli. Mbele Martial Rashford Miki Lukaku Mata Lingard can score alot of goals. Ila tunatakiwa kumpata mtu mwenye macho ya panzi uko kwenye msitu wa adui lakini anakuona na kukupenyezea pass. Mtu mwenye makengeza ambaye pass zake hakuna anayetabiri inaenda kwa nani. Kama Carrick tuu mapasi yake.
Carrick kilaza
Tear ndio nini?Tear ameshatua fundi