Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Morata 40 goals in 4 years
Lukaku 105 goals in 4 years

Now stop the comparing!

Takwimu mnazo sasa nini kinawafanya mnalia kibwege mitandaoni na kelele za kuacha kushabikia Madrid nawakumbusha Mourinho alianza na Morata kabla ya Lukaku.
89402882f6ccdf61d54a2375458a2883.jpg
 
Takwimu mnazo sasa nini kinawafanya mnalia kibwege mitandaoni na kelele za kuacha kushabikia Madrid nawakumbusha Mourinho alianza na Morata kabla ya Lukaku.
89402882f6ccdf61d54a2375458a2883.jpg
Aliyelia nani,nyie kocha wenuvsi hadi alimind kisa kumkosa Lukaku? Unapagawa na mitandao mi nimeleta takwimu we unajibu hoja kwa umbea. Na alikwambia nani Mashabiki wa man utd wanaishabikia Real madrid? Au mtu akimpenda ronaldo ni kosa? Mbona nyie mnawapenda lukaku na mata na wako Chama kubwa Manchester?
 
Anyway ndio biashara huria ilivyo lakini naona uhusiano Wa kibiashara ya Wachezaji kati ya Madrid na Man U unaenda kuharibika.

Scouting sasa hii waone as challenge ya kufocus kwenye masoko mengine hususan America ya Kati na Kusini kuna wachezaji wazuri sana Wa bei za wastani.
 
Aliyelia nani,nyie kocha wenuvsi hadi alimind kisa kumkosa Lukaku? Unapagawa na mitandao mi nimeleta takwimu we unajibu hoja kwa umbea. Na alikwambia nani Mashabiki wa man utd wanaishabikia Real madrid? Au mtu akimpenda ronaldo ni kosa? Mbona nyie mnawapenda lukaku na mata na wako Chama kubwa Manchester?

Relaaaax bro' relaaaax just take a chill pill angalia hata umu yupo aliesema kua anaacha kui-support Madrid kisa ishu ya Morata,nakuuliza ivi wewe unazijua takwimu kuliko Mo?maana Mo alianza na Morata kabla ya kuhamia kwa Lukaku baada ya ishu ya Morata kubuma pia angalia post za nyuma kwenye hili jukwaa jinsi Morata alivyokua anapambwa.
3d91723514c1b63726029b8a67a98af3.jpg
 
Relaaaax bro' relaaaax just take a chill pill angalia hata umu yupo aliesema kua anaacha kui-support Madrid kisa ishu ya Morata,nakuuliza ivi wewe unazijua takwimu kuliko Mo?maana Mo alianza na Morata kabla ya kuhamia kwa Lukaku baada ya ishu ya Morata kubuma.
3d91723514c1b63726029b8a67a98af3.jpg
Hapo ndo unapofeli unapojifanya unajua siri za taarifa za usajili za man utd,kwa taarifa yako sasa Man utd ilikuwa inashughulikia usajili wa Morata na Lukaku kwa pamoja,na wachambuzi wameanda mbali kusema huenda man utd walihamishia attention yote kwa Morata huku secrectly wakimfukuzia lukaku ndo maana nyie mlirelax mkajua lukaku wenu mwishowe tunajua kilichotokea.
 
Mkuu kama unaamua tu kubishana ili utoke povu just go ahead.

Binafsi hata Mimi as shabiki Wa Man U nilitamani zaidi tungempata Morata lakini haikuwa hivyo.

But as a matter of fact Lukaku ni goal getter mzuri zaidi kuliko Morata ndio mana utaona katika same Interval Lukaku amefunga zaidi kuliko Morata.

Morata ni mzuri zaidi hata team ikizidiwa coz anaweza kushuka kusaidia viungo na akatoka kati na mpira kupandisha mashambulizi While Lukaku ni mzuri zaidi akilishwa na viungo/winger wachezeshaji.

Hivyo tukubaliane kuwa hawa Wachezaji wote ni wazuri na sisahihi kuona kwamba mmoja ni garasa dhidi ya mwingine.
 
Vyote hivyo umevionea wapi wakati Morata ajawai kucheza dakika 90?
 
Hiyo inaitwa mbwa kala mbwa, Morata Paundi mil 70.7 Man Utd waona hawa jamaa wanataka kutufanya majuha, yaani bench wormer Pound mil70. Ili kuwaonesha wao ni Jeuri wakaamua kutoa Pound Mil 75 kwa Lukaku na kuwaachia mchezaji wao.

Nilichojifunza hapa walijua kuwa Man Utd wako desperate so wangewaendesha wanavyotaka, wakasahau kuwa tuna Javier Ribalta kwa hiyo hakuna wa kutupiga kizembe. Ona inter milan nao wanavyotaka kutupiga kwa Perisic. Hawajui hela imekuwa ngumu siku hizi.
Kumfananinisha kilaza Lukaku na morata ni sawa na kupamba mavi maua
 
Back
Top Bottom