Lukaku aligoma kwenda chelsea full stop. Wote tuliweka dau sawa akachagua timu kubwa uingereza,yenye mashabiki wazuri na kiwanja kizuri sio maneno yangu ni ya Lukaku mwenyewe. Iwe ni michezo ya kijinga ya Mou au la uamuzi wa mwisho alikua nao Lukaku.
Lukaku hajaanzia mpira wake Chelsea, ila Chelsea kwake ndo timu ya kwanza iliyoshindwa kumuanini,utapendaje timu iliyoshindwa kukuamini? Ghafla unapoanza kung'aa ndo warudi eti wanakutaka tena. Na swala la hela wote tulipeleka dau sawa mezani.Lukaku ni Mchelsea, na anaipenda timu yake kuliko chochote, Man Mmefika dau kubwa pamoja na Rooney ndani na Everton walikuwa hawana jinsi,
Kama kawa ya Mou, lazima awachanganye wachezaji
Hingereni lakini
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
Yaaahh..!!!ni mzuri kwa ngozi kama nyeupe hivi ndo inapendezea ila sio ngozi nyeusi..Huu uzi mweusi nauelewa sana
Lukaku hajaanzia mpira wake Chelsea, ila Chelsea kwake ndo timu ya kwanza iliyoshindwa kumuanini,utapendaje timu iliyoshindwa kukuamini? Ghafla unapoanza kung'aa ndo warudi eti wanakutaka tena. Na swala la hela wote tulipeleka dau sawa mezani.
Tajiri wenu Roman ananguvu sana kwenye usajili wa wachezaji kuliko mamanager. So usishangae mchezaji kutokua na mahusiano mazuri na kocha. Kocha anataka huyu, Roman anataka huyu we unategemea nini?Sio Chelsea walioshindwa kumwamini, bali MOURINHO ndio alishindwa kumwamini, ni kama ilivyokuwa kwa Mata, Mata alikuwa mchezaji bora wa Chelsea kwa misimu miwili, lakini Mourinho alimuona kuwa hafai akamtosa
Sasa Mouronho mnae, Mata mnaye na Lukaku mnae, ngoja tuone
Tajiri wenu Roman ananguvu sana kwenye usajili wa wachezaji kuliko mamanager. So usishangae mchezaji kutokua na mahusiano mazuri na kocha. Kocha anataka huyu, Roman anataka huyu we unategemea nini?
Unachosahau au usichojua ni kwamba Man U as a club has a Playground culture, Moyes na Vandagaa walishindwa kuadopt to the culture.Shida ya Lukaku, Mata, Hazard ilikiwa ni ya Mourinho
Unachosahau au usichojua ni kwamba Man U as a club has a Playground culture, Moyes na Vandagaa walishindwa kuadopt to the culture.
Mourinho alielezwa hilo na alipewa checklist aelezee ni namna gani ataweza adopt, alielezwa pia ni kwanini Management inadhani hawezi kufit kwenye hiyo culture kutokana na style yake
Inasemekana Mourinho aliandika a 60 page presentation kuelezea, sio namna anavyofit bali namna atakavyobadirika ili ku adopt.
Hivi Mourinho huyu wa sasa sio yule wa Jana.
Wamekuibia mkuuMb500 umecheki mpaka dakika ya 85,unatumia halotel? Nimeweka GB 1 Voda nikangalia mpaka dakika ya 60 mb zikakata.
Lukaku hajaanzia mpira wake Chelsea, ila Chelsea kwake ndo timu ya kwanza iliyoshindwa kumuanini,utapendaje timu iliyoshindwa kukuamini? Ghafla unapoanza kung'aa ndo warudi eti wanakutaka tena. Na swala la hela wote tulipeleka dau sawa mezani.

na alichonifurahisha zaidi ni kukubali united ni kuliko yeye..... kule chelsea alijiona yeye ni mkubwa kuliko clubKweli kabisa mkuu, Mourinho huyu wa sasa sio yule domokaya wa pale darajani, jamaa kawa so decent.
Mwanzoni alipokuja United nilikuwa mmoja ya maFans ambao hatukupendezwa na ujio wake tukijua ataibaidilisha club na kuwa kama Chesi, ila naona yeye kachenji in a very good way.
He is going to make our club great again. Can't wait to see the phrase "HATUSHIKIKI" again at the top of the post as it was before.
Jones kimpira ashazeeka mno, ingekuwa baily yule striker asingepita kishamba vile.Kama ulicheki game ya Leo goli la kwanza tulilofungwa ni makosa ya Jones na tatizo lake ni lile lile la kutokuwa aggressive anapobaki man to man na striker. Tumefungwa goli rahisi sana. Sasa hivi tunawachezaji wa kiwango cha dunia wanaoweza kucheza Nafasi ya ulinzi; Rojo, Bailly, Linderholf, Tuanzebe... Sioni sababu za kuendelea kuwashikilia Jones na Smalling. Ni muda waende kutafuta changamoto mpya kwingine.
Andreis Pereira.
Kama kuna mchezaji pale Manchester tunapaswa kumuangalia kwa jicho la tatu ni huyu kijana...
Sent From My Nokia Ya Tochi
Kuwasaidia ndio jambo bora kabisa tuwavumilie tu hakuna namnaWashabiki wa BLUE wamekosa cha maana cha kujadili kwenye uzi wao sasa wanakuja na pointless challenge huku naomba msiwanyanyapae sio wao jamani wana homa ya vipindi hawa.😎