Bengazuu
JF-Expert Member
- Mar 28, 2013
- 1,029
- 1,238
Nimependa mjadala wa leo wazawa vs haters. Nawakumbusha tu “haters" wakubwa tunajenga nyumba hatutaki kelele au mnataka tununue magarasa kama Perez au Mkorea mwenye jina la tusi yule? Pambaneni kupeleka news jukwaani kwetu huku tuacheni tumchambue Pogba kama tumuonavyo kwetu ni mtu muhimu na limethibishwa na game ambazo alikua hayupo dah timu ilikua inacheza kiwango cha kawaida ila akiwepo kati pale akichezea mpira burudani sana kwetu [HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]