Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
Wale wanazomea ovyo mkishindwa game moja tu yani hovyo kabisa mashabiki wa barca
Wale wanazomea ovyo mkishindwa game moja tu yani hovyo kabisa mashabiki wa barca
Yani mashabiki wa barca na real sometimes huwa siwaelewi kabisa utafikiria timu zao zina guarantee ya kuwin kila siku!CR7 analalamika![]()
Adhabu yao ilipunguzwa haukufutwa,kesi ya Atletico ilihusisha wachezaji wengi kuliko Real Madrid na Barca then unapaswa kufahamu power ya Florentino Perez(huwa anafight sana kuipigania Real Madrid ) ndio maana Wakatalunya wanamchukia sanaIla madrid adhabu yao kama hii ilifutwa,so anything can happen.
Wanazingua,atleast wangekuwa uwanjani hawakai mda wote wanashangilia kama shabiki wa Celtic .Yani mashabiki wa barca na real sometimes huwa siwaelewi kabisa utafikiria timu zao zina guarantee ya kuwin kila siku!
Itapunguzwa tu na kwao. All in all ni kwamba tutaweka hiyo 86 mezani alafu tumchukue AntoineAdhabu yao ilipunguzwa haukufutwa,kesi ya Atletico ilihusisha wachezaji wengi kuliko Real Madrid na Barca then unapaswa kufahamu power ya Florentino Perez(huwa anafight sana kuipigania Real Madrid ) ndio maana Wakatalunya wanamchukia sana
Herrera ataongeza mkataba pale OTWale wanazomea ovyo mkishindwa game moja tu yani hovyo kabisa mashabiki wa barca
Pogba anawauma sana wapinzani.Naomba pogba apewe balloon d or huu ni ukichaa wa mashabiki wa manchester
Hata 100 kataeni,alafu muongezeeni mkataba.
Ningekataa,vitu anavyopata Herrera pale OT hawezi kupata akiwa Nou Camp. Heshima anayopewa na mashabiki wa United hawezi kupewa na wale wakatalunya.


hapo lazima apimwe na akili maana hakuna asiependa mafanikio.Huu ndio ukweli kabisaPogba anawauma sana wapinzani.
Heshima kwa watoto wa Spain?wanatamani kucheza Barca na Madrid kila leo unadhani De Gea hapati heshima heeee heeeee,yaani Herrera agome kwenda kucheza along side Messi,Neymar,Suarez and the like eti abakie kwa heshima uku anakimbizana na tu na akina Rashford,Martial,Lindgard,Pogbahapo lazima apimwe na akili maana hakuna asiependa mafanikio.
Wapo wachezaji wenu kina Petit,Hleb,Song walikimbilia Barca baadae wakajutia.Herrera anafit kwenye mfumo wa Mourinho ndio maana umeona msimu huu ndio amecheza vizuri tangu atue United na kwa mara ya kwanza ameitwa timu ya taifa Spain
Basi ngoja uone atakvyo wakataa hao Barca.Heshima kwa watoto wa Spain?wanatamani kucheza Barca na Madrid kila leo unadhani De Gea hapati heshima heeee heeeee,yaani Herrera agome kwenda kucheza along side Messi,Neymar,Suarez and the like eti abakie kwa heshima uku anakimbizana na tu na akina Rashford,Martial,Lindgard,Pogbahapo lazima apimwe na akili maana hakuna asiependa mafanikio.
Barca watabaki kumuota tu huyu dogo.Hata Cesc ali-fit kwenye mfumo wa AW na alikua captain mdogo kabisa na alipewa kila heshima,narudia tena hakuna mchezaji hasa toka Spain ambae hana ndoto za kucheza pale Barca au Madrid uyu Herrera hana ubavu wa kukataa kwenda Barca kwanza kwake ni bahati hata kuhusishwa na Barca achana na kucheza.
Kila mifielder pale Epl aking'ara basi atalinganishwa na PogbaHuu ndio ukweli kabisa
Maana hakuna mwingine zaidi ya PogbaKila mifielder pale Epl aking'ara basi atalinganishwa na Pogba
Mi naona romelo alifanya vizuri sana kwenye europa...hata akiondoka sioni kama ni shida! Kama anataka kuondoka aondoke, atapatikana mbadala wake!!kwa sasa mu tunahitaji foward mwenye uchu na magoli japo kwa upande wangu naona kama de gea ataondoka itakua ni pengo kubwa sana na pengine sababu ya sisi kushindwa kayafikia malengo yetu katika msimu ujao
Msimu huu kulikuwa na:Maana hakuna mwingine zaidi ya Pogba





Sizani kama greizmann ni completely no. 9 striker! Kwangu nadhan belloti atafaa zaidi kama namba tisa...may be greizmann kama namba kumi au 11 au 7!! Pogba aendelee kama namba 8!Kuna haja ya kuwa na Belloti endapo tukimpata Griezmann??