Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Bellotti ataishia kama mwenzake aliyeenda kumrithi lewandosky pale Dortmund ciro Immobile sasa hivi ni wa kawaida tu karudi lazio.Alianza vizuri Torino kwa kasi kawa mfungaji bora kashindwa kuwika nje.Sikutegemea kama Kiko(macheda)angechezea serie B,Tulikuwa na game Cesena na Novara nikamuona jamaa ndiye striker wako naye kashuka sana japo ndiye aliyetufunga goli la ushindi.United kama watamchukua Perisic au brozovic wote wachezaji wa inter jamaa wapo vizuri kwa mfuatiliaji wa Serie A hata na yule wa Madrid amenunuliwa kwa hela nyingi lakini ni benchi la modric.hawa jamaa wa Croatia wana wachezaji viungo wazuri.