Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Kwa hiyo? Manutd walimsajili Bebatov na Louis Saha wenye uzoefu wa kufunga magoli ndani ya EPL lakini matokeo yake hawakuwahi kushinda golden boot!
Akaja Ruud Van Nisteroy kutoka ligi ya Everstite rekodi yake ya kufunga bado inakumbukwa iwe EPL au Champions ligi
My point treat each case as unique because the past experiences of other players irrelevant
Na sio guarantee kuwa ukimleta mchezaji bora wa ligi fulani lazima awike..