Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

nashkuru kwa kunikumbusha mkuu. Ila kiukweli Pogba anawauma sana. Alivyokuwa Juve,daily walikuwa wanatucheka eti tumekubali mchezaji kama yule ameondoka. Karudi wanabadili maneno
Tatizo wivu unawasumbua. Kila Pogba akifanya kitu lazima watafute reference. Inawauma Sana. Nakumbuka kabla hajapata goli Hata moja walisema sana
 
Tatizo wivu unawasumbua. Kila Pogba akifanya kitu lazima watafute reference. Inawauma Sana. Nakumbuka kabla hajapata goli Hata moja walisema sana
Mfano mashabiki wa Arsenal ndio wananichekeshaga sana. Hasira za kocha wao wanazileta kwa wengine. Sisi tulisajili Pogba kwavile tulikuwa tunamuhitaji katika timu,ila kocha wao alisajili Lucas Perez ili kuwanyamazisha,but hakuwa anamhitaji ndio maana yuko benchi tu.

Wazee wa Xhaka booom.
 
Uyo anayesema herrera hawezi kataa kwenda barca itakuwa akili zake zipo matakon kama za gigy money ....kama ujui mourinho yupo lazi amuuze de gea na rashford at the same time lakini sio herrera. Wachezaji waliofit mfumo wa mourinho msimu huu ni Valencia na Herrera. Herrera kaitwa national team for the first time......Herrera anapewa heshima kubwa sana na mafans wa man utd ...kuna mechi moja sijui ipi pale OT waingereza walimwandikia bango Herrera 'Herrera is not a Spaniard,he is English'.....sasa mpk waingereza walivyokuwa na nyodo na kulinga kwa kujiona taifa lao superior alaf wanakubatiza utaifa wao lazima ushtuke kidogo .....

Ander Herrera is upcoming Roy keane
 
8f877383f514557fffe84bda2bcb5cea.jpg
 
Mi naona romelo alifanya vizuri sana kwenye europa...hata akiondoka sioni kama ni shida! Kama anataka kuondoka aondoke, atapatikana mbadala wake!!
uzuri ni kwamba ulimwengu wa soka wapo walinda milango wengi kwa hiyo ni suala la kutoa mkataba mzuri tuu mbadala utapatikana tuu
 
Mjue kijana right back of Benfica Nelson Semedo .

Huyu Semedo ni jembe ulaya na Valencia atapata changamoto tosha.


 
Back
Top Bottom