Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Screenshot_2017-05-31-18-59-51.png
 
Anakataa vipi kwenda Barca?ungekua wewe ndio Herrera na umefuatwa na Barca ungekataa....
Ndio ningetaa,tena nisingetaka hata kuwasikiliza. Barca sometime wanakuwa na tamaa katika usajili wao. Kumbuka usajili wa Song na Fabregas. Mwaka jana wamemsajili Andre Gomez lakini yupo yupo tu.
 
Kesho alhamisi ndio hatma ya usajili wa Griezmann kwenda Manchester United itajulikana,so far Atletico Madrid walifungiwa na FIFA kusajili wachezaji kwa miaka 2 kwa kuvunja sheria kwenye usajili wa wachezaji chipukizi kwenye academy yao lakini walikata rufaa ambayo kesho ndio hukumu itatolewa(kuna tetesi adhabu haitafutwa wala kupunguzwa),Atletico wanaamini watashinda rufaa ili wamuuze Griezmann then wamsajili Alexander Lacazette au Diego Costa kuziba pengo lake.Griezmann alishakiri yuko tayari kuhama Atletico kwenda timu nyingine kushinda vikombe na tangu ametua Atletico hajawahi kuchukua kombe lolote

Antoine Griezmann ana release clause kwenye mkataba wake kama kuna timu itafikia dau lililowekwa klabu itamuuza (hii haina uhusiano na adhabu ya kutosajili)so far PSG & United ndio wamefika hilo dau lakini Griezmann aliwaambia PSG hana mpango wa kucheza Ligue 1 ikabidi PSG wahamie kwa Aubemeyang toka Dortmund

Sent from my NokiaX2DS using JamiiForums mobile app
 
Kuna haja ya kuwa na Belloti endapo tukimpata Griezmann??
Tunawahitaji wote wawili. Belloti no. 9 na Griezmann no. 10

Kwa maana Griezmann anacheza behind Belloti.

Tungelikuwa na Belloti nina uhakika ubingwa ulikuwa wetu. He is a poacher in front of a goal with chances after chances we created this season he could have been top EPL scorer with 30+ goals
 
Kesho alhamisi ndio hatma ya usajili wa Griezmann kwenda Manchester United itajulikana,so far Atletico Madrid walifungiwa na FIFA kusajili wachezaji kwa miaka 2 kwa kuvunja sheria kwenye usajili wa wachezaji chipukizi kwenye academy yao lakini walikata rufaa ambayo kesho ndio hukumu itatolewa(kuna tetesi adhabu haitafutwa wala kupunguzwa),Atletico wanaamini watashinda rufaa ili wamuuze Griezmann then wamsajili Alexander Lacazette au Diego Costa kuziba pengo lake.Griezmann alishakiri yuko tayari kuhama Atletico kwenda timu nyingine kushinda vikombe na tangu ametua Atletico hajawahi kuchukua kombe lolote

Antoine Griezmann ana release clause kwenye mkataba wake kama kuna timu itafikia dau lililowekwa klabu itamuuza (hii haina uhusiano na adhabu ya kutosajili)so far PSG & United ndio wamefika hilo dau lakini Griezmann aliwaambia PSG hana mpango wa kucheza Ligue 1 ikabidi PSG wahamie kwa Aubemeyang toka Dortmund

Sent from my NokiaX2DS using JamiiForums mobile app
Kwa vile Real Madrid walipunguziwa tunategemea Atletico nao kupunguziwa mwaka mmoja.

Come Griezmann
 
Back
Top Bottom