Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Unazungumza mwaka jana,mwaka huu au wakati Pep akiwa anafundisha Barca ?

Sent from my NokiaX2DS using JamiiForums mobile app
Wewe Belo wewe! Hizi post zako mbili zinaonyesha kama una mwa- under rate Busquet. Nakuambia na kukuakikishia siku ambayo Busquet hachezi barca inakuwa katika hali mbaya sana. Hata game ya kwanza dhidibya Juventus jamaa hakuwepo na ndio sababu ya kipigo cha pale turin. Angekuwepo juve walikuwa na kazi ngumu sana.

Busquet ni mchezaji mzuri tangu enzi za Gandiola, Vilanova, Tata Martino mpaka Lucho.
 
Game performance msimu huu kina Dembele na Wanyana walikuwa juu kuliko pogba. Labda ameshindwa kuizoea epl. Pogba kabla ya kuja united alikuwa vizuri na sii kama tunavyofikiria. Kumbuka pogba alikuwa anazungukwa na ma midlle wazuri hivyo kumfanya naye angare. Maestro Andrea Pilo, Arturo Vidal, na Marcchisio.

Ukitaka kujua jamaa ni wakawaida angalia euro iliyopita. Alifunikwa hata na Musa Sissoko na kina Payet kule kwenye timu ya taifa.
Jaribuni kuweka baadhi ya maneno rehani. Musimu ujao utawashangaza wengi
 
Screenshot_2017-06-01-21-46-05.png
 
Mfano mashabiki wa Arsenal ndio wananichekeshaga sana. Hasira za kocha wao wanazileta kwa wengine. Sisi tulisajili Pogba kwavile tulikuwa tunamuhitaji katika timu,ila kocha wao alisajili Lucas Perez ili kuwanyamazisha,but hakuwa anamhitaji ndio maana yuko benchi tu.

Wazee wa Xhaka booom.
Lucas Perez kachoka kukaa benchi.
 
Wewe Belo wewe! Hizi post zako mbili zinaonyesha kama una mwa- under rate Busquet. Nakuambia na kukuakikishia siku ambayo Busquet hachezi barca inakuwa katika hali mbaya sana. Hata game ya kwanza dhidibya Juventus jamaa hakuwepo na ndio sababu ya kipigo cha pale turin. Angekuwepo juve walikuwa na kazi ngumu sana.

Busquet ni mchezaji mzuri tangu enzi za Gandiola, Vilanova, Tata Martino mpaka Lucho.
Busquet alingaa sana kipindi Pep akiwa kocha,Pep alitengeneza timu kupitia (Xavi+Busquet+Iniesta) baada ya kuondoka kiwango chake kimeshuka umri umeenda amechoka na hajawahi kuwa na back-up uliona game ya PSG alivyokimbizwa na kina Verrati .Mfumo wa Barca ulikuwa unamtegemea yeye so ukimbana yeye au asipokuwepo lazima timu ife.Mfumo wa Luis Enrique uliwategemea (Messi +Suarez+Neymar),Juventus waliweza kuwabana MSN so hata Busquet angekuwepo asingefunga goli
 
Back
Top Bottom