Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Be careful kuna wahuni wamevamia sred yenu sababu tu mmefanya vyema!
Usikubali wakuzidi nguvu maana ww na wenzako mmeiendeleza hii thread hata team ilipokuwa very poor!
Mkuu usivamie party za wenzako huku unasambaza sumu ya Chuki fitina na uzandiki kakae nje man hatuko hivyo huwa tunaalika hadi wapinzani kusheherekea mafanikio... unafiki hauna nafasi Manchester United. .. you better get out nenda ccm huko ndio Pana kufaa sports ni upendo fair play
 
Be careful kuna wahuni wamevamia sred yenu sababu tu mmefanya vyema!
Usikubali wakuzidi nguvu maana ww na wenzako mmeiendeleza hii thread hata team ilipokuwa very poor!
Lady Nifah tu hajavamia ana roho mbaya huyu hata kapongezi hamna
 
Chenu chenye uwezo kimefikia wapi?Sisi tuna ndoo ya Europa,mashindano ya pili kwa Ukubwa barani Ulaya,sisi ni wababe Zaidi ya Chelsea kwa sasa.

Next season tunaanza na UEFA Supercup,huko tunahamu napo maana baada ya sisi kuwa mapumzikoni hamna milichofanya Zaidi ya kukata viuno,tunarudi sasa kama sio fainal basi tutatolewa nusu fainal,record this comments.
Europa cup ni kakikombe kadogo sana wewee ...kikombe cha kawaida tu icho hakina pesa kama FA, mara kumi hata na carling cup
 
Europa cup ni kakikombe kadogo sana wewee ...kikombe cha kawaida tu icho hakina pesa kama FA, mara kumi hata na carling cup
Hata kama europa cup iwe ina thamani ya senti moja sisi tulichotaka

1. Tuwe mabingwa tu
2. Tiketi ya UEFA

40C28DDC00000578-4539134-image-a-82_1495662769900.jpg
 
Back
Top Bottom