johnsonmgaya
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 2,818
- 3,731
Nawaona pogbas juu hapo
Mfumo wa Unuted wa leo ni wa kudefend. Ajax wepesi sana. Wangepata timu inayoshambulia muda wote wangefungwa mengi sana.hehehheee tukutane UEFA msimu ujao!!! so far japo tumeshinda ila hawa ajax wana defensi moja nzuri sana! kale ka chalii kanaitwa sanchez daaaah! nadhani huyu ni wa kuchukua kwakweli atatusaidia sana msimu ujao!!!
Mourinho hata tuki mdiss lazima tukubali ukweli kwamba hamna kocha angeweza imudu man u kama mou msimu huu!!
Mashabiki wa aseno waikua wanatucheka tuko namba sita ehheheeee wataisoma nambe europa msimu ujao!!! kesho natembea kifu mbele mtaani dadekiii!!
GGMU!!!