Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

c5cb6a05f9f0de3dbe2a46475102e83e.jpg
 
Hongereni sana!
Mmepigana na mmeshinda!
Hongreni kwa wote mlio simama na team yenu ktk wkt mgumu ulio wakabili EPL!
Ingawaje mlishindwa kupenya kwa WANAUME kucheza CL kupitia EPL lkn haijalishi maana tunacho taka tuwepo CL bila kujali mmefika kwa njia ipi
CL will be very interesting!The tug of war will be between WANAUME wa Anfield(MAJOGOO) na vivulana viwili vya Manchester wakisindikizwa na vitoto viwili vya London
Hongereni sana RRONDO
Nzi
 
Kwa kuingia ECL man utd wameokoa £21m ambazo wangekatwa na adidas iwapo wangeshindwa kuingia ECL kwa mara ya pili mfululizo.

Mkongwe Wamekunyang'anya sred yenu hawa WAHUNI wanao ibuka tu team ikifanya vyema?Pigania uchukue back thread yako maana ww na akina Rutashubuma mmekuwepo hapa kwa raha na karaha sio hawa wahuni
Ehehehe
 
Back
Top Bottom