Zinaenda tano coz man u kaingia kama bingwa Wa Europa na sio kama timu ya uingerezahongera kwao, na wanazi wote wa manure. Nauliza vipi Uingereza sasa itapeleka timu 5 UEFA au Liver amepigwa chini kwa huu ushindi wa Manure??????
thanksZinaenda tano coz man u kaingia kama bingwa Wa Europa na sio kama timu ya uingereza
Kumbe ndiye huyuView attachment 514111 ng'ombe umbea wake umemponza
ndio huyo mkuuKumbe ndiye huyu
View attachment 514111 ng'ombe umbea wake umemponza
apikwe supu huyo watu wa jiji la manchester na wapenzi wa man tunywe supuPole sana....Ukishinda FA cup unacheza Europa League, ukishinda Europa unacheza ECL yenye hela nyingi kuliko makombe yote. Bado unasema FA ina pesa kuliko Europa?Europa cup ni kakikombe kadogo sana wewee ...kikombe cha kawaida tu icho hakina pesa kama FA, mara kumi hata na carling cup
Liverpool hawapigwi chini. Kinachotokea UK wanapeleka timu tano kwenye mashindano! Ilishatokea Spain miaka michache iliyopita.hongera kwao, na wanazi wote wa manure. Nauliza vipi Uingereza sasa itapeleka timu 5 UEFA au Liver amepigwa chini kwa huu ushindi wa Manure??????
Leo nitakomaje? HahahaLady Nifah tu hajavamia ana roho mbaya huyu hata kapongezi hamna
Nifah this is not fair......5th place reward is Europa League and 6th place ECL.......
na achinjwe tu maana hakuna namna.. viva UTDView attachment 514111 ng'ombe umbea wake umemponza
Mwaaaaaaaaaaaa!!!!!
Umemchana vizur AsenanePole sana....Ukishinda FA cup unacheza Europa League, ukishinda Europa unacheza ECL yenye hela nyingi kuliko makombe yote. Bado unasema FA ina pesa kuliko Europa?
Arsenal kashika nafasi ya tano hachezi ECL, Liverpool nafasi ya nne anaanza na qualifying games ila Man Utd kashinda Europa cup anaingia moja kwa moja kwenye groups kama mabingwa wengine wa ligi.
Chuki inakupa upofu
[HASHTAG]#MourinhoIsAGenius[/HASHTAG]
Umekosea, sisi mara ya mwisho ni 2015. Tukiingia huwa tunafanya vizuri sio nyinyi mkiingia mwisho mtoano ukianza mnashindwa hata na Leicester City. Jitahidini mshinde Europa League mrudi ECLLeo nitakomaje? Hahaha
Jana nimeangalia mechi,kipindi cha kwanza kilipoisha nikawa na imani na cha pili...kimeanza tu mkaongeza goli nikaenda kulala kwa hasira,nikachungulia dakika ya 70 yaleyale nikagive up.
Hongereni jama,nanyi mcheze UCL sasa maana kama sikosei mwisho ni mwaka 2013/4...mkafanye wonders sasa sio mtolewe round ya 1![]()
![]()
cc sister radika kisu cha ngariba na wengine woooote.