Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Plz Pogba thibitisha leo unaweza,, plz Mkhi thibitisha wewe ni fundi,, Mata as well,, mtu wa kazi Ander late us not down,,, big Fella plz kaza as usual,, All the Best Manchester United,,
We jamaa maombi yako yamejibiwa kama ulivoomba! Mshukuru Mungu katoe sadaka kanisani au kama ni muislamu usiache kufunga na kusaidia wasiojiweza mwezi huu mtukufu ukianza
 
40C0DA3200000578-4539134-A_Manchester_United_fans_calls_for_the_players_to_do_it_for_Manc-a-11_1495660757501.jpg
 
Kikosi chenu hakina uwezo Wa kucheza UEFA nyie ...mtaenda kutia aibu uko,bora mngebaki tu europa uko mtaitia aibu ligi yà uingereza.
Chenu chenye uwezo kimefikia wapi?Sisi tuna ndoo ya Europa,mashindano ya pili kwa Ukubwa barani Ulaya,sisi ni wababe Zaidi ya Chelsea kwa sasa.

Next season tunaanza na UEFA Supercup,huko tunahamu napo maana baada ya sisi kuwa mapumzikoni hamna milichofanya Zaidi ya kukata viuno,tunarudi sasa kama sio fainal basi tutatolewa nusu fainal,record this comments.
 
Back
Top Bottom