Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
Yuko na Mhiki
Na wao mwakani wafanye kama tulivyofanya sisi,hawa Ajax wasingeweza kutushangaza at least LyonNa raha zaidi asenane tunamwachia haya mashindano[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sio mbaya kama tutafanikiwa kumpata Griezman lakini kwa mimi nadhani James Rodriguez ni mtu sahihi kuja Man U kati ya hawa wawiliGriezmann
Mda huu wamenuna sana!Arsenal wapo ?