Hii ndoo haina utata kashone Suti tuPlz Pogba thibitisha leo unaweza,, plz Mkhi thibitisha wewe ni fundi,, Mata as well,, mtu wa kazi Ander late us not down,,, big Fella plz kaza as usual,, All the Best Manchester United,,
Ndiyo tumeanza Zimesalia dakika 9 filimbi ipulizweJaribu kustream online basi![]()
Mawazo yake yako Real Madrid anaweza kutukosesha ndoo kwa kukosa focus.Degea kapigwa benchi jaman!!
Amina!Mwenyezi Mungu uwe pamoja nasi,, GGMU,, miss u UCL,,,
Hawana pa kutokea hawa makinda ila wataambulia uzoefu mkubwa sanaNgoja tukachukue mwali.
Hakuna mkuu halafu niko ugenini, Roho inaniuma kweli kweli kuikosa hii mechi...Duuh.!!mkuu unakoswa kuangalia hii mechi hamna hata vibanda umiza huko ulipo..??.![]()