Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Leo nitakomaje? Hahaha
Jana nimeangalia mechi,kipindi cha kwanza kilipoisha nikawa na imani na cha pili...kimeanza tu mkaongeza goli nikaenda kulala kwa hasira,nikachungulia dakika ya 70 yaleyale nikagive up.

Hongereni jama,nanyi mcheze UCL sasa maana kama sikosei mwisho ni mwaka 2013/4...mkafanye wonders sasa sio mtolewe round ya 1

cc sister radika kisu cha ngariba na wengine woooote.
Hatimae umeonekana, Loh asante kwa pongezi.
 
88d0ab26777109d2407a56749711a8ab.jpg
Namkubali huyu kijana na Marcus rojo hatariiiiii
 
Nifah hapana sio 2013/2014 pia msimu wa 2015/2016 tumecheza UEFA CL chini ya Luis Van Gal
Yeah tulikosa msimu uliopita, tungekosa misimu miwili mfululizo adidas wangewakata man utd £21m kwenye mkataba wao. Kwahio pamoja na kushinda kombe, kucheza ECL pia man utd wameokoa £21m approximately tzs 60b
 
Prizes for EPl 2016-17. 1.Chelsea 38m. 2.Tototo. 36.1m. 3. City. 34.2m. 4. Liver. 32.3m. 5. Arsen. 30.4m. 6. Utd. 28.5m. 7. Everton. 26.6m. PRIZE MONEY FOR WININNG EUROPA LEAQUE CUP ITS £27m. All in all Man Utd to pocket £28.5m ( 6th pisition in EPL) + £27m ( EUROPA) + £30m (LEAGUE CUP) + £20m ( community shield) + £23m ( Fa cup quarter final ) = approx £130m. Whilst Chelsea to get approx less than half of what Man Utd gets 2016-17. That's why Man Utd are the money makers year in year out.
 
Biashara nzuri hii
 
Back
Top Bottom