Hoja sio kuchezeshwa? Na hakuna sehemu niliosema acheze tu sehemu yoyote, nilisema kama angepangwa rooney instead of zlatan nikimaanisha position, jee anachezeshwa position aliyokua akichezeshwa zlatan? Anatengenezewa nafasi kama alivokua akitengenezewa zlatan, usijifanye unajua mpira kuliko wengine, ulitoka povu na kunidharau niliposema hatuna nafasi ya kuingia top 4, ukaniambia nna mentality ya arsenal, nimekata tamaa, leo wewe na hao wenzako mnajifanya mnaujua mpira mnaona aibu, ndo mukome kudharau maoni ya wenzenu