fablo can
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 1,222
- 1,267
Amen. Na ombi lako limesikika kwa babaOhhhh baba wa mbinguni tumezunguka mlima huu wa sita vya kutosha kesho twaomba iwe zamu yetu kutoka huu mlima.Nakushukuru baba maana sasa umenisikia.Ameeen
Amen. Na ombi lako limesikika kwa babaOhhhh baba wa mbinguni tumezunguka mlima huu wa sita vya kutosha kesho twaomba iwe zamu yetu kutoka huu mlima.Nakushukuru baba maana sasa umenisikia.Ameeen
Pongeza basi dada yangu au kwa kuwa tumekuachia nafasi yetu?Nilijua tu hahahaaaaaa
Lazima umenitafuta sana.
ina maana mpaka mfike nafasi ya nne, itawagharimu siku 104 tenaa
kweli mnae kazi hongerenii.Utakua umetumia 'Ubashite' kufikiriaBaada ya siku 104 leo ndo mmefanikiwa kutoka nafasi ya sita![]()
![]()
ina maana mpaka mfike nafasi ya nne, itawagharimu siku 104 tenaa
![]()
kweli mnae kazi hongerenii.

Hamia kwa hao wanaojua kupigania top four hujalazimishwa kushabikia UNITED unazidi kujiongezea stressPamoja nakuondoka nafasi ya sita, sioni kama tuna timu ya kupigana kuingia top four, badala yake naona tumeondoka kwa muda tu hiyo nafasi ya sita, wiki 3 zijazo uhakika tutakua nafasi ile ile ya 6 kama sio ya saba, hasa ukiangalia ratiba tulionayo, timu nyingi tulizobaki nazo ni ngumu na tunacheza nazo bila kupumzika
Duh mkuu hayo ni maoni yangu si lazima ukubaliane nayo, kama hupendi kusikia tofauti na unavoona wewe, hama wewe, mimi sio mshabiki maandazi kama wengi wenu humu walivoHamia kwa hao wanaojua kupigania top four hujalazimishwa kushabikia UNITED unazidi kujiongezea stress
Mechi nne za mwanzo hazina shaka sababu tutakuwa tumerudi vizuri ila kuanzia ya tano ndio mtihani but tusiwe na Shaka EPL ni kuwepo top 4 only tusiwe na wasiwasi juu ya JMisn't great as anyone can think of.
tutakua na mechi TISA ndani ya mwezi mmoja tu
tar 1, 4, 9, 13, 16, 20, 23, 27, 30
Its not looking good at all
Endelea kusikia mkuuNasikia mmehamia wodi namba saba kwa muda...
Jamaa kaongea ukweli kabisa alafu wewe unaleta maneno mingi apaa ...mechi mlizobakiza mkishinda apo ni mbili tu. Nyingine mnaekwa kama kawaaaHamia kwa hao wanaojua kupigania top four hujalazimishwa kushabikia UNITED unazidi kujiongezea stress
Hawapendi kuambiwa ukweli, kama mechi za kawaida kina bounimouth, banley, stock city westham tumeshindwa kuondoka na point, utarajie chelsea, man city, spurs, everton, arsenal utachukua point? Shida ya mashabiki wengi humu wa man utd ni watoto, wameanza kuishabikia united kuanzia mwaka 2011Jamaa kaongea ukweli kabisa alafu wewe unaleta maneno mingi apaa ...mechi mlizobakiza mkishinda apo ni mbili tu. Nyingine mnaekwa kama kawaaa
Hawapendi kuambiwa ukweli, kama mechi za kawaida kina bounimouth, banley, stock city westham tumeshindwa kuondoka na point, utarajie chelsea, man city, spurs, everton, arsenal utachukua point? Shida ya mashabiki wengi humu wa man utd ni watoto, wameanza kuishabikia united kuanzia mwaka 2011
Ndo akili yako ilipoishia apo, kukosoa spelling ndo kitu unachojua, hata hivo naona mengine umenilisha, spelling kwako ni big issue kama tunajifunza dictation vileBonley
Stock City
Bounimouth
Hizi timu za nchi gani kwanza ?
Content unayoandika hata walioanza kushabikia United mwaka 2011 wana afadhali