Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Screenshot_2017-05-16-17-00-42.png
 
Nionavyo Arsene Wenger hawezi kumuuza musimu huu Alexis Sanchez yuko tayari Musimu ujao aishie bila malipo.

Mkakati wa Manutd ni kusubiri musimu ujao na kumsajili bila kumlipia hata sumni.

Hii ndiyo kumkomesha Arsene Wenger kwa kutufunga juzi two nil!
 
Mikataba ya wachezaji wa Manutd ina vifungu vifuatavyo:-

Wakishinda kushiriki ubingwa wa champions ligi kuna bonus kwa wachezaji wote 22 waliosajiliwa kushiriki.

Kulingana na makisio ya mapato ya musimu huu kitita cha £ 38mill kugawiwa kwa wachezaji wote sawa kama wakibeba ndoo ya Europa.

Kama wakishindwa ipo faini kila mchezaji kukatwa 25% ya mshahara wake isipokuwa wachezaji ambao mishahara yao iko chini ya £ 30k kama akina fossu n.k
 
Siku kama ya leo miaka 20 iliyopita THE KING ERIC CANTONA alitangaza kustaafu soka akiwa kaitumikia Manchester kwa takribani misimu mitano na nusu.

Hii ilikua barua ya S. A. F kwenda kwa cantona
0fa99091a3931739f0f8b473674928ab.jpg
321024f2ca58aaf93eaf5ec6459027a9.jpg
 
Hoja sio kuchezeshwa? Na hakuna sehemu niliosema acheze tu sehemu yoyote, nilisema kama angepangwa rooney instead of zlatan nikimaanisha position, jee anachezeshwa position aliyokua akichezeshwa zlatan? Anatengenezewa nafasi kama alivokua akitengenezewa zlatan, usijifanye unajua mpira kuliko wengine, ulitoka povu na kunidharau niliposema hatuna nafasi ya kuingia top 4, ukaniambia nna mentality ya arsenal, nimekata tamaa, leo wewe na hao wenzako mnajifanya mnaujua mpira mnaona aibu, ndo mukome kudharau maoni ya wenzenu
Naunga mkono hoja..
 
Kutoka kwenye kitabu cha mwisho cha Roy kean alijaribu kumuelezea kidogo Eric na mchango wake kwenye timu.

Mengi yamesemwa na yameandikwa kuhusu misimu mitano na nusu ya mfaransa Eric cantona aliotumia katika viunga vya OT. Hata leo miaka 20 imepita tangu alipotangaza kuachana na mpira akiwa na miaka 30 tu, bado jina lake linasikika OT kila siku ya mechi kitu ambacho kuna wachezaji wameitumikia timu kwa muda mrefu lakini hawajabahatika kukipata.

Mwaka 2009 kuna poll iliandaliwa na gazeti moja maarufu nchini England kumtafuta United greatest ever player. Kwa mujibu wa mwandishi alitegemea kuona majina kama starford, duckworth, Robert, Bell, Turnbull, Wall, Meredith, Barson, Spence, Carey, Rowky, Pearson, Foulkes, Gregg, Colman, Edward, Taylor, Violett, Charlton, Law, Best, Robson, Beckham, Scholes, Gary neville, Solksjaer, Ronaldo etc. bila shaka haya ni miongoni mwa majina yenye heshima sana pale Manchester, cha kushangaza ERIC CANTONA ndio akaibuka kuwa Manchester United greatest ever player. Labda tuone kwanini mashabiki walimchagua Eric kuwa ndio mchezaji bora kabisa kuwahi kuvaa jezi ya Manchester.

Kitu kimoja tunachopaswa kujua ni kwamba kati ya mwaka 1968-91 Manchester utd ilikua haina mafanikio. Ndio tulifanikiwa kupata FA cups kama nne kwa kipindi hicho, lakini kitu pekee kilichokua kikiangaliwa sana ilikua ni KOMBE LA DIVISION ONE (kwa sasa ni EPL).
Kuna misimu walijaribu sana lakini mwisho wa msimu wakawa wanazingua kutokana na kutokua na ubora (quality) ambao ungeweza kuwa-push mwenye finishing line na kuwafanya wawe champions.
Mwaka 1990 utd ilishinda FA cups kwa kuifunga C. Palace baada ya replay pale wembley. Kwa kipindi hicho S. A. F alikua na miaka minne tu tangu alipochaguliwa kuwa kocha wa Manchester mwaka 1986, na mashabiki waliona miaka minne ni inatosha kabisa kwa kocha kutengeneza kikosi cha ushindani.

Mashabiki wakaanza kupoteza imani na kuonesha fluctuations kwa kile walichoona ni lack of significant progress, baadhi ya maeneo ya OT wakaanza kutaka afukuzwe hasa kwenye msimu wa 1989/90. Japo bodi ya Manchester utd ilimuamini na kumpa muda zaidi na ile kushinda FA cup wakaamini the day will come and it's only a matter of time.

Ferguson aliijenga timu yake kwa mchanganyiko wa wachezaji wakongwe na vijana na alikua makini sana kwenye masuala ya usajili. Mwaka 1991 kulikua na kombe la ulaya (European cup Winners) ilifanyika Rotterdam baada ya battle kali na wakatalunia ambao inasemekana ndio walikua wakipewa nafasi kubwa ya kushinda.
Msimu uliofuata utd walitupwa nje ya league cup na N. Forestry na huku ubingwa ukiwa umeota mbawa baada ya kuwaruhusu Leeds utd kuwapiku mwishoni mwishoni mwa league. (kumbuka leeds ni wahasimu wakubwa sana wa Manchester) first eleven ya kipindi hicho ilikua na akina schmeichel, Irwin, Donaghy, Bruce, Phelan, Robson, Pallister, Ince, Webb, Giggs, Kancholksis, Hughes, McClair, Sharpe, Blackmore na Ferguson baadae S. A. F aliongeza safu ya ushambuliaji kwa kumuongeza Dion Dublin toka Cambridge utd, aliufanya usajili huu baada ya kumkosa Alan shearer toka soton akiwa kinda. (inasemekana huu ndio usajili uliomuumiza sana babu)

August 15th 1992 ni siku ambayo msimu wa 1992/93 ulikua unaanza na utd ilianzia ugenini kwa sheffield utd, kwenye mechi hyo Manchester ilipoteza 2-1 pia game iliyofuata ikapoteza nyumbani 3-0 dhidi ya Everton, ikafuatiwa na droo ya 1-1 ugenini kwa Ipswich, baada ya hapo ukafuata ushindi mfululizo dhidi ya soton, N. Forrest, C. Palace, leeds na leeds utd. Bahati mbaya kwenye game dhidi ya palace Dublin alivunjika mguu na alitakiwa kukaa nje kwa miezi sita hivo kuacha pengo kwenye safu ya ushambuliaji, pengo lake lilionekan kwenye mechi zilizofuata. Kwenye kombe la UEFA walidroo dhidi ya kibonde Torpedo Moscow kwa matokeo ya 0-0 na kutolewa kwa penalty. Kwenye league cup walipewa Brighton na kudroo 1-1 ugenini Goldstone ground na kushinda 1-0 nyumbani OT, baada ya hapo zikafuata droo zingine TANO MFULULIZO
Spurs (1-1)
QPR (0-0)
Middle (1-1)
Liverpool (2-2)
Blackburn (0-0), then tukaja kupoteza 1-0 kwa Aston villa kwenye league cup, pia tukapoteza mechi mbili mfululizo kwenye League, 1-0 to Wimbledon na 1-0 tena dhidi ya Aston villa, hapo ilikua kati kati ya mwezi wa kumi na moja na utd ikiwa nafasi ya 10 kwenye msimamo points nane nyuma ya waliokua vinara arsenal. Tatizo kubwa Manchester walikua wanashindwa kufunga magoli ya kutosha na hiki ndio kiliwaponza ubingwa msimu wa nyuma yake.
Mechi mbili za mwisho kwa mwezi November 1992 ilikua dhidi ya Oldham athletics na arsenal, hizi zote utd ilishinda, ushindi dhidi ha arsenal ulikua muhimu kwa sababu kuu mbili, moja arsenal alikua anaongoza ligi, mbili ushindi huo uliwapeleka hadi nafasi ya tano japo ikawa nyuma ya vinara wapya Norwich city kwa point tisa, kwa wakati huo utd ilicheza mechi 17 na kufunga mabao 18 tu na kuruhusu magoli 12.

ITAENDELEA

Hii itakua ni makala ambayo inaelezea miaka mitano ya Eric cantona kwenye viunga vya Manchester
 
Mkuu tumefika huku? Kisa waingereza? Usifanye hivo aisee, tuna mambo mengi sana ya kuyaandika kuhusu timu yetu ila sio haya. Hope bro Bello utachukulia poa
Mwehu huyu jamaa wacha nimnyooshe, anajifanya yeye ndo anahatimiliki ya kutoa maoni ya timu kwenye hili jukwaa
 
Mkuu tupo kufatilia hiyo makala, ni jambo jema kwa kweli, hasa kipindi hiki ambacho ligi zitakua zimemalizika
 
Back
Top Bottom