Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Punguza pumba,Carrick kacheza UNITED misimu 11 na ameshinda ubingwa mara 5 kwa uchezaji huo unaouponda.Unafahamu kazi ya holding/defensive midfielder?
Historia ni historia lakini haijatupa ubingwa au top four musimu huu.
 
Kwa hiyo Makellele alikuwa anafunga magoli na kutoa assist ? Tangu atue England Kante amecheza mechi 70 kafunga magoli 2 na ameshinda ubingwa wa EPL mara 2
Carrick hana mbavu za kukaba ni mzuri kusambaza mipira. Manutd inachohitaji ni central midfielders makinda wenye kukaba, kutoa vyumba vya magoli, na kufunga.

Michael Carrick (35) umri ni ishu kubwa hawezi kucheza mechi mara mbili kwa wiki inabidi apumzike na akiumia huchukua muda mrefu kupona.

Manutd musimu huu majeruhi yamewatesa haswa kwa sababu second string is too weak lakini kitita kiko pale pale.

This is serious business timu isipofanya vizuri lazima baadhi ya wahusika kuwajibika.

Kubwa zaidi kiwango na malipo wapi na wapi?
 
Carrick amecheza zaidi ya mechi 350 United na amefunga magoli 30. Huyo ni holding mid.

Kumlaumu Carrick ni kumuonea tu.
Hakuna mapana yasiyo na ncha Manutd kushinda ubingwa EPL wengi itabidi waishie kuanzia Rooney, Carrick, Ashley Young, Jones, Smalling hata Martial na wale left back hati hati, Sijui Damian na mwenzie kiwango hakiridhishi

Angalia hela wanayolipwa kwa wiki na kiwango hakuna uhusiano

It is time to clean up the excess baggage!
 
Endelea kupost picha tu
Screenshot_2017-05-15-21-19-15.png
 
Carrick hana mbavu za kukaba ni mzuri kusambaza mipira. Manutd inachohitaji ni central midfielders wenye kukaba, kutoa vyumba vya magoli, na kufunga.

Michael Carrick umri ni ishu kubwa hawezi kucheza mechi mara mbili kwa wiki inabidi apumzike na akiumia huchukua muda mrefu kupona
Carrick ni defensive/holding midfielder sio central midfielder, Pogba &Herrera ndio CM
 
Back
Top Bottom