RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,783
- 129,575
Na mechi ambayo United ilipoteza 'HAIKUPOTEZA' as it was second leg of EFL cup which United won 3-2 aggregate.Mechi 25 za mwisho United imepoteza mechi 1 na draw 6.
Na mechi ambayo United ilipoteza 'HAIKUPOTEZA' as it was second leg of EFL cup which United won 3-2 aggregate.Mechi 25 za mwisho United imepoteza mechi 1 na draw 6.
Binafsi hadi leo naamini kama mou angempanga wazza instead of ibra angefanya vizuri kuliko ibra, bado naamini katika rooney, Zlatan anatengenezewa nafasi nyingi anazozitumia nichache, naamini kama nafasi zile angezipata captain leo tungekua mbaliMan u fans wamekuwa wana mu underrate sana Rooney, kuna kipind kweli alikuwa anazingua ila kwa aina ya wachezaj walioko man u kwa sasa, bado Rooney angeweza akapata namba kiroho safi.
Mf. Rooney anaweza fanya kosa moja likaonekana zaid ya Ibra akifanya kama hayo manne, sijui ndo damu/ nyota ama vip!
Football is not fairMeneja wa Leicester City Claudio Ranieri amefukuzwa kazi, miezi tisa baada ya kushinda Ligi Kuu ya England.
Leicester wako pointi moja tu juu ya timu zilizopo hatarini kushuka daraja huku zikiwa zimesalia mechi 13.
"Bodi kwa uzito mkubwa inahisi kuna ulazima wa kubadili uongozi. Ingawa ni uamuzi mgumu lakini ni muhimu kwa maendeleo ya timu" imesema taarifa ya Leicester.
Ranieri, 65, aliipeleka Leicester kunyakua ubingwa licha ya wengi kutowapa nafasi hiyo.
Football is not fair
![]()
Binafsi hadi leo naamini kama mou angempanga wazza instead of ibra angefanya vizuri kuliko ibra, bado naamini katika rooney, Zlatan anatengenezewa nafasi nyingi anazozitumia nichache, naamini kama nafasi zile angezipata captain leo tungekua mbali
Jamani tuache mapenzi binafsi. Kukaa kwenye nafasi ya kutengenezewa nacho kipaji, being in right place at right time.Binafsi hadi leo naamini kama mou angempanga wazza instead of ibra angefanya vizuri kuliko ibra, bado naamini katika rooney, Zlatan anatengenezewa nafasi nyingi anazozitumia nichache, naamini kama nafasi zile angezipata captain leo tungekua mbali
Conte....anaefuata nani hapo? Noma sana
Dah di maria inauma sana...Man Utd's most expensive signings
Paul Pogba (£89million)
Angel Di Maria (£59.7million)
Juan Mata (£37.1million)
Anthony Martial (£36million)
Dimitar Berbatov (£30.75million)
Jamani tuache mapenzi binafsi. Kukaa kwenye nafasi ya kutengenezewa nacho kipaji, being in right place at right time.
Mwaka jana Ibra hakuwepo Rooney alifanya nini? Rooney ni namba 10, Ibra ni 9. Rooney kapoteza edge na kashindwa ku adapt na umri.
Ibra rate yake kufunga magoli ni kubwa ,nafikiri ukiangalia statistics za miaka 5 iliyopita Messi na Ronaldo ndio wamefunga magoli mengi zaidi ya Ibra,Rooney ameshapoteza ukali wake wa kufunga magoli hata England pamoja na kuwa captain lakini bado amekuwa mzigoBinafsi hadi leo naamini kama mou angempanga wazza instead of ibra angefanya vizuri kuliko ibra, bado naamini katika rooney, Zlatan anatengenezewa nafasi nyingi anazozitumia nichache, naamini kama nafasi zile angezipata captain leo tungekua mbali
Draw ya Europa saa ngap?
Saa 1200pm huku itakuwa 1500Droo ya eufa