Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Just a quick reminder, if we win europa league José will have more trophies in one season than Liverpool have in the last 10
8b2fa96d27af4a253bc1b2289c95aa95.jpg
Big point for liver to consider
 
Hodi humu. Habari wakuuu. Nimelete rambi rambi....! Naamini jana mmesaidia spurs kutwaa ubingwa kama mlivyoaidi. Siku ile Dele Alli anatugonga 2. Ikawa habari ya dunia. Nyinyi jana mmegongwa na kushindiliwa nafasi ya 6. Siyo habari ya dunia......!!!! Poleni kwa maumivu makali hususana Iceman 3D. Bavaria, Belo,makatheboy, rutashubanyuma na wengine wengi
Nafasi ya sita au ya tano zote sawa tu!
 
Hana mchango wa maana nitamshangaa sana Mourhnio akimwongezea mkataba na kulipa £150k per week labda akubali kufyekwa hadi £60k per week.

Manutd wanahitaji Makelele type au Kante lazima apimwe kwa tackles, assists, goals scored na kwenye hizo takwimu hana bao!
Kwa hiyo Makellele alikuwa anafunga magoli na kutoa assist ? Tangu atue England Kante amecheza mechi 70 kafunga magoli 2 na ameshinda ubingwa wa EPL mara 2
 
Kwa hiyo Makellele alikuwa anafunga magoli na kutoa assist ? Tangu atue England Kante amecheza mechi 70 kafunga magoli 2 na ameshinda ubingwa wa EPL mara 2
Huyo jamaa sijui Carrick kamkosea nini
Anarukaruka tu anashindwa kutetea anachokiandika
Bora aendelee kupost mapichapicha tu na siyo kuchambua mpira
Punguza pumba,Carrick kacheza UNITED misimu 11 na ameshinda ubingwa mara 5 kwa uchezaji huo unaouponda.Unafahamu kazi ya holding/defensive midfielder?
 
Msimu wetu wa EPL uliisha siku tuliyotoka sare na Swansea. Kuanzia siku ile mechi zilibaki mbili vs Celta na vs Ajax.
Mechi nyingine zote ni warm ups kwa ajili ya mechi hio. Tukishinda hio mechi tunapata kombe ambalo hatukuwahi kupata na nafasi ya kucheza ECL.....its a NO BRAINER!
Sio kwamba hatukuwahi kuchukua ni kwamba zilikuwa sio level zetu daima tulikuwa tunalisikia tu.... Ila kwakuwa imebidi basi hatuna budi kulibeba....
 
uzuri unapolilia kufika sisi tushafika, kwa sasa tunakamilisha ratiba tu, hizo race zenu za 4 hazituhusu
 
Tuliwaambia mapema hapa kwamba hatuna timu ya kuingia top 4, mukatushambulia sijui una mentality ya arsenal, sijui umekata tamaa mapema, sasa munalialia nini? Tulieni nafasi yetu ni ya 6, msimu ujao tena
 
TOP FIVE BIGGEST SPENDER IN PL ERA AND PL WON

1: CFC: £1.25b - 5
2: MCFC: £1.21b-2
3: MUFC: £1.01b-13
4: LFC: £917m-0
5: SPURS: £727.5m-0

Dear rival fans, the next time you mock/question United's spending & value for money, pls make sure your club are doing it right before you poke your nose into other's club business.
 
So sad,, ila Almighty awe nasi trh 24,,, na ndoto hizi zkitimia josee aachane na mbin zake za kizaman,,, nyakati hiz unacheza kwa malengo ya droo?? utashinda kombe gan?? celta,, standard liege nao wababe OT?? wachezaj wa viwango vya kawaida waachwe kabsaaaa ili Brand na Heshima ya Irejee

mnamuonea Hugo kocha kwanza ni Bahat kuangalia Mpira toka octoba bila kupigwa had mwez huu Wa tano van gal alitutoa kwenye system naiman kubwa na mou atairejesha timu inapotakiwa
 
Timu inacheza kama ya simuyu bana,hamna mipango kabisa,ovyo ovyo..Rooney,carrick,jones,smalling,lingard waondoke tu..martial,mikhitaryan,darmian blind pia wafwatie..hamna haja ya kukaa na wachezaji wanaobahatisha
Usipaniki braza, hapo wakuondoka ni Smalling, lingard huyu kiwango chake haki improve kabisa, darmian, Rooney uwezo anao sema hajitumi, Mkubwa Fella, Young na blind
 
Punguza pumba,Carrick kacheza UNITED misimu 11 na ameshinda ubingwa mara 5 kwa uchezaji huo unaouponda.Unafahamu kazi ya holding/defensive midfielder?

Carrick amecheza zaidi ya mechi 350 United na amefunga magoli 30. Huyo ni holding mid.

Kumlaumu Carrick ni kumuonea tu.
 
Kweli kuna watu wanaangalia mpira na wengine wanatazama. Leo carrick amekua wa kusemwa hivyo duuu.
 
Back
Top Bottom