Msimu wetu wa EPL uliisha siku tuliyotoka sare na Swansea. Kuanzia siku ile mechi zilibaki mbili vs Celta na vs Ajax."Usidanganyike,nafasi ya 6 ni nafasi yetu ya kudumu" Manchester United 2017
cc radika RRONDO johnsonmgaya Transcend kisu cha ngariba
Niache kwanza mkuu...Rafiki kumbe upo. Zile ndoto zako ziliishia wapi. Tumenyanyua ndoo juzi. Vipi ulikwepo?
Carrick kama ndiyo dili basi ujue ubingwa next year ni majogoo. Midfielder lazima afunge au hata kutoa assist Carrick takwimu zake ni kimeo.Mkuu, I beg to differ, ofcoz tumekosa umakini flan mbele lakini Carrick huwezi kusema ni mzigo pamoja na umri kumtupa. Uwepo wake unaonekana.
Tukubali tu kuwa msimu huu tumekuwa na kikosi finyu sana na ndio maana majeruhi imetuathiri sana.