Naona unakazwa na timu legelegeTottenham hotspurs kikosi chao hakina mabadiliko hii inaashiria second string ni legelege
Haaaaaaaaa. Wameilipia kodiKwa hiyo nafasi ya 6 kwa Manutd ni guaranteed
Rafiki kumbe upo. Zile ndoto zako ziliishia wapi. Tumenyanyua ndoo juzi. Vipi ulikwepo?Nitaaangalia fainali ya Europa tuu sasa
This is bullshit
Ni kweli Rooney na Carrick waliruka lakini wrong positioning hawakuona ndani. Sidhani Carrick kama ataongezewa mkataba ni mzigo mzito