OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Siku zote timu mbovu ndo huwa inafungwaa.
Siku zote timu mbovu ndo huwa inafungwaa.
Carrick anacheza defensive/holding midfielder unataka afanye assist/afunge magoli,wachezaji wa kulaumiwa kutofunga magoli wako wengi sio CarrickCarrick kama ndiyo dili basi ujue ubingwa next year ni majogoo. Midfielder lazima afunge au hata kutoa assist Carrick takwimu zake ni kimeo.
braza kweli kabsa!? of all people unamlaumu Carra?Carrick kama ndiyo dili basi ujue ubingwa next year ni majogoo. Midfielder lazima afunge au hata kutoa assist Carrick takwimu zake ni kimeo.
Umesema vemaCarrick anacheza defensive/holding midfielder unataka afanye assist/afunge magoli,wachezaji wa kulaumiwa kutofunga magoli wako wengi sio Carrick
Kuna mashabiki wanajua kulalamika sana, Ni sawa Barcelona wasifunge magoli then alaumiwe Sergio Busquetbraza kweli kabsa!? of all people unamlaumu Carra?
Mou kaishiwa mbinuNgoja kwanza...hivi hawa waliovaa nyekundu ndo Man utd!??????
Very sad aisee...hadi Rooney naye yupo. Nlishaanza kujiuliza aliuzwa klabu gani hii? Kumbe ndo kiwango chenu kilipofikia. Sijui Mou anawapumzisha kujiandaa na europa!???
hahahahaKuna mashabiki wanajua kulalamika sana, Ni sawa Barcelona wasifunge magoli then alaumiwe Sergio Busquet
Katika mechi 5 tulizofungwa 4 tumecheza Jumapili baada ya kutoka kucheza Uropa AlhamisiNadhani sipendi Europa League kabisa.
Unachosha wachezaji alhamisi halafu unakuja jpili kucheza mechi ngumu ya EPL.
Kuwa kimya kiaje? Maana hii thread haijawahi shinda njaa, tofauti na vi-dust bin vingine ambavyo wanasubiri washinde ndio vipate wachangiaji.Wakati wa usajiri huwa mna mbwembwe lakini ligi ikianza wote huwa mnakuwa kimya.
Hana mchango wa maana nitamshangaa sana Mourhnio akimwongezea mkataba na kulipa £150k per week labda akubali kufyekwa hadi £60k per week.Unajuwa position ya Carrick msimu huu kweli?unamfannanisha na kiungo gani? Pamoja na umri kumtupa lakini Caric ni mmoja wa wachezaji waliocheza mpira katika kiwango cha juu akitimiza majukumu yako vema uwanjani,sema kutokana na kiwango kibovu cha timu msimu huu ndio kinachotufanya tuwaone wachezaji wote kuwa na kiwango kibovu,ila kwa mchezaji mmoja mmoja aliye perform ndani ya timu Caric tunampa nafasi nzuri na katika 10 kwangu anachukua 7 (7/10).
So jaribu kuangalia nafasi yake uwanjani na majukumu yake,je anatimiza malengo?
Mara nyingi huwa na jukumu la kutukiza kiungo chetu pale tunapopoteana hata tunapofungwa.
Labda nisaidie fact!!!!
Wakati ukuta na hapo ndipo utamkubali Mourhnio the tactician. Ajax hawana defence wala kipa wa kuizuia Manutd kuibuka kidedea ndani ya 90 minutesIo europa atabebea wapi? Labda akaibe. Ajax hatamwacha kwakweli
Kwa mitazamo hii, ubingwa wa EPL tutaisikia kwenye bomba. No ambition no EPL gold medalsCarrick anacheza defensive/holding midfielder unataka afanye assist/afunge magoli,wachezaji wa kulaumiwa kutofunga magoli wako wengi sio Carrick