babu ni kama bashite.Shukrani sana. Nasubiri kusikia kama Babu hatakuwepo msimu ujao maana yeye ndiyo chanzo cha matatizo yetu miaka nenda miaka rudi.
Mna mechi nao kina nani? Mkuu nakuona unahangaika sana na liverpool. Liver umemuona wa kutoka hapo? Na hiyo mechi mliyoshinda leo ndiyo mmeona sasa miujiza itafuatia boss?Wa tano ila tuna mechi mbili hatujacheza. Tukishindwa Liverpool tunampita. Halafu kwa ManCity wanatupita point nne lakini tuna mechi moja. Na bado tuna mechi nao.
Yaani weeeeeee wacha tu
Kikubwa Chelsea hakupiga shuti hata moja golini na hii ni mara yake ya kwanza kwa musimu huu. Ungeona baada ya mpira kwisha wachezaji wote wa Chelsea vichwa chini.Hongera kwa ushindi ulionyooka wadau wenzangu
Kwangu leo ni Herrera jinsi alivyomtia mfukoni Hazard asifurukute kabisaKwangu mimi man of the match ni FELLAIN
Ni man united fan bt hiyo iko wazi big fella hana spd mkuu sema leo no one expected kilichotokea kazi iliyofanywa na kila mchezaji ni best performance nadhan hazard na kante wake watampa heshima yake herrera we done today. Now we are loking foward kwa next game v anderlecht pale OT [HASHTAG]#GGMUFC[/HASHTAG]Manchester United 2Chelsea 0
Eric Bailly ni kweli kacheza siyo utaniNilifurahi sana pale Costa kila akifanya fujo zake Eric anamcheka tu .....mkubwa fella Leo kaonekana Lulu aise ..Herrera kawapoteza kabisa Leo .
Kama wanaojua mpira wameona kazi ya young leo ! Bc herrera itakuwa hakucheza kabisaKafanya nn cha maana ? Unaongea 7bu man kashinda ! Kacheza mechi ngap mpk leo ndo 2mkubali ? Na ndo mcmu wake qa mwisho huu huyu kuli wako
mpaka imejiuliza tulikuwa wap kucheza kama hivi mechi 5 tu zaid leo tungekuwa mbaliTechinc player wa leo
Stats were very impressive today, pretty cool job by the ladsKikubwa Chelsea hakupiga shuti hata moja golini na hii ni mara yake ya kwanza kwa musimu huu. Ungeona baada ya mpira kwisha wachezaji wote wa Chelsea vichwa chini.
Washukuru Manutd watakwenda White Hart Lane vinginevyo ubingwa wangesahau baada ya kipigo hiki
Ana umuhimu wake kwenye timu, sema tukifungwa wengine husahau na kuanza kuponda wachezaji wetu na kuwapa low ratings. Washazoea fujo zao za simba na yanga. Big up kwa big Fella kwa performance yake leoKwangu mimi man of the match ni FELLAIN
there were 11 men of the match to dayNilifurahi sana pale Costa kila akifanya fujo zake Eric anamcheka tu .....mkubwa fella Leo kaonekana Lulu aise ..Herrera kawapoteza kabisa Leo .
Ni kweli lakini kilikuwa Kitendo cha haraka mno so kwa refa ilikuwa ngumu kutafsiri kwa speed ile katika akili yake,aaaah aaaah no on shoot on goal kwa Chelsea kwa mara ya kwanzaChelsea wadai Herrera aliunawa kabla ya kutoa pande kwa Rashford