Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,912
- 10,262
Ukiwa kocha unapaswa kuwa na wachezaji wa aina tofauti kuna baadhi ya mechi hawa wachezaji msiowapenda Young,Fellaini na Lingard wanapaswa kucheza na ndio wanaiokoa timu.Ukiwa kocha huwezi kutumia approach moja kwenye game against Arsenal ukaitumia against Sunderland ukaitumia against Chelsea lazima uwe flexible na uwe na wachezaji wanafit kwenye mifumo tofauti na cha msingi ni kuwa kocha anaangalia,workrate za mchezaji anapowapa nafasi. Hakuna aliyetegemea kuwa Fabregas na Willian watapigwa benchi na Conte,Carlo Ancelotti anampiga benchi Tomas Muller Zidane anawapiga benchi Isco na James RodriguezNi man united fan bt hiyo iko wazi big fella hana spd mkuu sema leo no one expected kilichotokea kazi iliyofanywa na kila mchezaji ni best performance nadhan hazard na kante wake watampa heshima yake herrera we done today. Now we are loking towards next game v anderlecht pale OT [HASHTAG]#GGMUFC[/HASHTAG]

