Kafanya nn cha maana ? Unaongea 7bu man kashinda ! Kacheza mechi ngap mpk leo ndo 2mkubali ? Na ndo mcmu wake qa mwisho huu huyu kuli wakoWewe na wenzio mjifunze ku analyse game sio mnaangalia visigino kanzu etc. Mpira wa Ulaya hawaangalii hivyo vitu.
Wanaojua mpira tu ndio wanaweza kuona kazi ya Ashley Young au Lingard. Umemiona Victor Moses leo? Unajua Lingard kakimbia km ngapi? Au amefanya sprint ngapi?
Msifikiri Mou mjinga kuweka bench talent kama Martial au Shaw. Football is more than just talent,its a war.
Did I say that?Im pretty sure we gonna score again. We need that crucial second goal!
Sifa moja ya Mourinho ukimfunga mara ya kwanza next game anakuwa amejifunza so inabidi ujiandae sana,Game ya kwanza El Classico Pep alimfunga 5au 6 game zilizofuatia Pep alikuwa anapata tabu sana na msimu huu baada ya kufungwa na Pep na Conte mechi zilizofuatia amewapa wakati mgumuHawa washabiki wengine upeo wao unaishia simba na yanga.
Shukrani nyingi kwako pia kwa pongezi zako leo mou kikosi anajua alipokitoa ni maamuzi ya kiufundi lakini magumu sana.Hongereni humu kwa ushindi mnono sana.
Ni kawaida yake yupo kikazi zaidiUtafikiri ana mapafu ya mbwa mwitu
Actually kwa mara ya kwanza toka September 2007!Chelsea kwa mara ya kwanza kwa musimu huu shots on goal SIFURI