Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kifupi game ya leo ilihitaji winga tereza kule mbele na pia kati kuwe na ukabaji wa uhakika sasa kina lingard na Rashford bado vijana so wanaweza kukimbiza na kukaba pia fellain ni kwa ajili ya mipira ya juu khalafu kuna watu wakupenyeza kama herrera basi mou leo kapiga hesabu zake na zimekwenda uzuri.
 
Back
Top Bottom