Saaaanaa...yaani Rent Boys wametoka na 0 shot on target!Eeh leo tumepga gem kibabe
Jose Mourinho sio wa kumlinganisha na JulioHuyu mou atakuwa anakula ugoro, huwezi kuwa na akili za namna hii nina uhakika hata Jamhuri Kiwhelo " Julio" hawezi kupanga kikosi kama hiki mbele ya chelsea
Wewe na wenzio mjifunze ku analyse game sio mnaangalia visigino kanzu etc. Mpira wa Ulaya hawaangalii hivyo vitu.Mkuu huyu jamaa hamna ki2 sema 2 uingereza ndo unaombeba kuwepo man u mpk leo
Manchester United 2Chelsea 0Sasa big fella ana spd gani kufukuzana na kina hazad na pedro wanapo anzisha mashambuliz
Hawa washabiki wengine upeo wao unaishia simba na yanga.Jose Mourinho sio wa kumlinganisha na Julio